Nimemuona leo “Poshy Queen” wa Harmonize anakunywa safari. Kumbe wasanii hawana hela…?


Nimecheka sana
Kwani pesa ndio inalazimusha kinywaji gani mtu unywe eeee!!!!

Tena safari kwa wanawake in a jambo zuri inafanya.. Kampe mkeo uniletee mrejesho.. (nenda nje ya boksi kwa hili) 🤣🤣🤣🤣
 
Acha kuwadharau walimu mbwiga wewe, kwani ukisema kipato chako bila shobo inakuwaje!!!! Acha mambo yako ya kitoto hayo.
 
Naona hapo ulitaka kujilinganisha na mwalimu tu
 
Tunaojua vizuri vimiminika hivi wiwili, I'll ll never trade Safari lager for Heineken hata siku moja.
 
Ticha hio ni shule gani inamlipa ticha mil 3
 
Mwalimu Mpwayungu Village , mimi bia yangu pendwa tangu nianze kunywa bia mwaka 1990 ni Safari Lager, hapo niwe Kempinsky, Protea, Sea Cliff au Dora's Pub.
 
Mkuu,
Kwanini mtu mwenye kipato kizuri unaona apaswi kunywa safari? Kwani safari ina madhara fulani hivi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…