Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

Status
Not open for further replies.
Ewaaaaah, usipochepuka mbona mimi na wewe tutaenda sawa. Ila ukijidai hauridhiki na papuchi yangu huku unategemea mimi niridhike na nanilii yako, utafeli.
Sawasawa haina shida..😂
 
kawaida ya nyie wanawake wa pwani mnapenda kufundishana umalaya.
 
FT 3-0 tayar hyo mama..na magonjwa atakuletea tu
 
He he he he dada unaumwa malaria nn?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeniudhiii. Napata hasira kwa niaba yako.

Ningemjib text "bado hujajua kumkatia viuno vizuri ongeza bidii na mimi mama nyuki nitatop up"

Unalaaje kizembe hv[emoji23][emoji23]
 
Hivi wanawake wenzako kama wewe mumebakia wangapi huko store?
 
Asante[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukichepuka bila yeye kujua wakati wewe unajua yeye anachepuka nadhani wewe ndo utakuwa unajiumiza tu..why usifanye na yeye ajue unachepuka?
Ya yeye kutokujua ndio nzuri maana unafanya huku ukiendelea kumhukumu juu ya usaliti aliofanya. Anakosa amani nyumbani.
 
Ndicho nilichopanga mkuu. Tumetoka mbali na my husbandhuu mchepuko wala sina time nao maana kwanza najiamini kwa kila idara so hata kama ameamua kuchepuka ni vile ubinadamu tuu na nature vimemfosi. Nataka nikazane kumuombea tuu asije pata madhara
Kwanza kabisa mfanye ajue kuwa umejua. Hiyo ni hatua ya kwanza kwao kuachana. Ukishamfanya ajue kuwa umejua njoo tuongeze kinachofuata
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…