Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

Status
Not open for further replies.
Na hapa ndo hamkubaligi mukipigwa comeback[emoji2222][emoji2222][emoji2222] hapo natafuta kivulana ama kijukuu cha bestfriend wako roho okuume vzr zaidi[emoji23][emoji23]
Hahahah hawezi kukubalia amini kwamba! Labda uwe mwanamke mrembo sana kama Zari vile 😂😂😂
 
Sawa mi nakupenda nakutreat vizuri ila hela za kuku spoil sina! Hapo tutaelewana kweli maana mapenzi mnataka na hela mnataka ila wanaotaka hela ni wengi kuliko mapenzi na ndio wanatuyumbisha sana😂😂😂 sokoni!
Sio kwamba sisi tunataka tu hela, maisha itself ndio yanataka hela, hela ndio inafanya maisha yawe mazuri, hata huko kumtreat mpenzi vizuri ulikokubali pia kunataka hela,

Sasa kama hela huna maana yake hutaweza kumnunulia hata perfume kwenye birthday yake sasa hapo mtu atakuwa anadate mwanafunzi wa sekondari au mtu mzima mwenye akili timamu??
 
Madamme, nikutumie parcel kwa bodaboda ama basi lipi[emoji23][emoji23]

Yaan vinavyoongeaga humu utafikiri vina hela vyote[emoji706][emoji706] nani asiyejua majority ya families ni wanawake wanahudumia. Na kwa hela gani walizo nazo. Wanashupazaga shingooo. Eti kwakua unahudumiwa ndo iwe ticket ya kucheatiwa. Unyanyaswe umerishika kwakua mume anahudumia. Vijana wamekua mchelemchele kweli. Mngejua tunavyowadharau basi tu. Majukumu hamtaki mnataka maisha mazuri na sent tano hamna. Kazi kudanga tu. Kuhamisha kwa mke kupeleka kwa michepuko. Halaf malipo ni kumuumiza kwa hela zake na mapenz yale kwkao na maradhi juu. So suala la kuhudumia mukae kwa kutulia. Na mnalijua hilo.

Mnataka nani ahudumie familia? Au nyie ndo mumeolewa?
Ukanitumie tu parcel yangu kwenye Sauli pale😂😂😂

Etu anahudumia familia vizuri so achepuke tu aseeeeeeeeeeeee
 
Hawa sio kwamba wanataka wake submissive: wanataka wake wajinga wa kuwapelekesha kadri inavyowapendeza wao
Ni ujinga kama huu ndo wana kazi ya kutuambia sisi siyo wife materials. Na si kila jambo litokee mpaka uwe kwenye hiyo scenario. Wanapaswa kujua kila mtu ana standards na limits katika maisha yake. Let it be mtu ameolewa ama lah. Hauvumiliki ujinga ili uonekane mwnaanke bora hapana. Mwanamke bora ni pamoja na kujua bora yako. Tuna ndoto zetu kubwa sana za kutimiza. Hatupendi so called ndoa za kuchekupiana ndo ziwe sababu ya kuua ndoa zetu kila siku kwa vilio vya samaki mpaka tushondwe kuwaza na kujenga ndoto zetu. Kama kuwa submissive ndo mke bora basi miye sitaki. Mfumo dume unazidi kuharibu vijana wetu sana.
 
Hahahah hawezi kukubalia amini kwamba! Labda uwe mwanamke mrembo sana kama Zari vile [emoji23][emoji23][emoji23]
Uzuri siyo sura. Na zari ni mtu wa mafilters. Mamitandao hudanganya sana. Hawa mastaa wasikubabaishe. Kinachoumiza ni memmories na reality ya upendo muliyoishi. Michepuko mingapi mikali imetemwa baada ya akili kuwarudia na kurudi kwa wake zenu wapendwa. Uzuri si sura
Na hata tukiangalia ukweli... hapa mitandaoni munapigaga kele tu mke mwenye tako sijui sura ila mumeoa wake wa kawaida mno. Uzuri wa sura pia siyo akili. Tumeelewana.
 
Iko hivi, sioni sababu ya kugombana na mtu mzima. Ujue sisi binadamu wote tumeumbwa na Mungu. Mwanaume/Mwanamke alieko kwenye ndoa then ni mchepukaji ni maamuzi yake.
Woman mume wako akiamua kuchepuka let him be ni hulka yake. Ujue hutaweza kufanya kitu hata iweje because hukumuumba wewe. Kuna msemo unaitwa "kill them with kindness". Wewe mpe haki yake ya ndoa tena midinyo ya kucheua then full stop akisepa mbona fresh endeleza happiness yako na watoto wako. Tukitegemea furaha kutoka kwa our partners by 100% tutakufa hakika.
Mwanaume alieumbwa na Mungu anajua anachotaka if its michepuko then fine na ndo maana inashauriwa katika ndoa hakikisha unacho kipato cha kukufanya uishi na watoto wako.
Cha zaidi cha kukushauri irresepective ya dini yako kaa mtafute Mungu ukamjue ili amani yake ikahifadhi moyo wako dada. Duniani kuna stress tu huku we ongea na Mungu aingilie kati hakika nakwambia atafanya hakuna kugombana na mtu. Tena ukimuona maloveeee kama yote akisepa unarudi magotini fullstop. Naamini utavuka na utaishi, na kuwa na amani. Enjoy life buana vitu vidogo tu ivo amdharau Mungu wake aliemuumba akuogope wewe my foot....
Tunawapenda ivoivo mtajijua mmeumbwa na Mungu na sio sisi.
#najuaninisasa#
 
Sio kwamba sisi tunataka tu hela, maisha itself ndio yanataka hela, hela ndio inafanya maisha yawe mazuri, hata huko kumtreat mpenzi vizuri ulikokubali pia kunataka hela,

Sasa kama hela huna maana yake hutaweza kumnunulia hata perfume kwenye birthday yake sasa hapo mtu atakuwa anadate mwanafunzi wa sekondari au mtu mzima mwenye akili timamu??
Hio nimekupa scene tu ya jinsi ilivyo, sasa kumbe mapenzi yanaenda na both items...Most of you ladies like being treated thus why mkiona opportunities you find ways to flirt with guys!

Mke anaamini kuwa she has rights to cuff his man asishawishiwe huko nje while alot of bitches falling prey for him sababu wanataa kuwa treated. Ifikie muda you ladies muelewe that a nigga will hit a bitch outside anytime. He choose you as a wife to him ila atagonga tu nje cause most men cant stand the pussy offers!

Just stay on your lane as long as she fux you hard, treats you right but the competition is still solid outside! Kuanza kumfatilia you will always find out kuna mtu lazma ame flirt nae! You will end up hurt bora usijue!
 
Uzuri siyo sura. Na zari ni mtu wa mafilters. Mamitandao hudanganya sana. Hawa mastaa wasikubabaishe. Kinachoumiza ni memmories na reality ya upendo muliyoishi. Michepuko mingapi mikali imetemwa baada ya akili kuwarudia na kurudi kwa wake zenu wapendwa. Uzuri si sura
Na hata tukiangalia ukweli... hapa mitandaoni munapigaga kele tu mke mwenye tako sijui sura ila mumeoa wake wa kawaida mno. Uzuri wa sura pia siyo akili. Tumeelewana.
Ehee sio akili kwa kweli hasa kwa sie wenye akili i cant choose an orange over avocados!😅
 
Halooo, unamwonea huruma??
Ningekuwa mimi kwenye hiyo nafasi yako sijui ingekuwaje yaani. Vile ningeliamsha dudeee.

Ndio maana haupo kwenye nafasi yake. Hapo kwenye nafasi yako hali ikoje?
 
Ukanitumie tu parcel yangu kwenye Sauli pale[emoji23][emoji23][emoji23]

Etu anahudumia familia vizuri so achepuke tu aseeeeeeeeeeeee
[emoji23][emoji23] sauli benzi ama scania? Chagua[emoji23][emoji23]

Unajua nimegundua jambo. Sisi wa kaskazini na hiyo kanda yenu ni kati ya jamii za wanawake walio exposed na dunia. Tunajua kipi sahihi na kipi si sahihi kwetu. Ila kwakua jamii imeamua mfumo dume ndo kila kitu basi imeaminishwa mtu avumilie tu hata upuuzi. Sisi kanda zetu wazazi wetu hawatatutelekeza mabinti zao. Ndo maana vyimba vyetu bado vipo. We will always be our home's lookers no matter where we go. Tumelelewa kwa upendo mno na familia zetu. Hatuzazoea manyanyaso. Watafute wanaoona manyanyaso kwao ni sawa wadumu nazo
 
Hawa sio kwamba wanataka wake submissive: wanataka wake wajinga wa kuwapelekesha kadri inavyowapendeza wao
Basi ndo tumeshakutana. Kila mtu atabaki na ujinga wake. Nimeamini limits ndo kila kitu. Yaan usikubali kiwango cha ujinga kivuke mipaka. Tutafute hela tuwaoe
 
Katika kagua kagua simu nimekutana na msg ya mchepuko anakumbushia ile biashara aliyoambiwa aaangalie kama itafaa afunguliwe biashara tayari mbona kama mume amenyamaza? jibu la mume ni kwamba "Tutaongea mama".

Nilipata ka mshtuko na ka hasira kidogo lakini baadae nikaingiwa na huruma sana nikimuangalia mume wangu.

He is so good kwetu mimi na watoto yani hakuna kitu tuombe asitimize. Ila huruma imenijia kwa sbb ana majukumu mazito mbele yake kwa sasa na huyu mchepuko hajui anawaza hela ya biashara.

Na kuhusu kumwambia nimepanga nimwambie yeye aendelee na mambo yake hela ni zake bwana ila chonde chonde asiniletee magonjwa as kwangu mimi nimetulia na najiamini kwa asilimia 100.

Na kupambana eti na mchepuko sijui kupambana na mume siwezi kisasi ni cha Mungu. Halafu kwa nature ya wanaume walivyo ntagombana na wangapi. Au mnasemaje wadau?

Mie ninamuonea sana huruma maskini unakuta anawaza familia kumbe kuna ka mchepuko kanampa stress tena naogopa kasije kakamroga akatusahau, Nifanyeje?
Dah
 
Ndugu, tumetifautiana. Na muda uendavyo mambo hubadilika. Afya yako ndiyo mtaji wako. Mnakua wepesi kunena haya ila mabinti zenu wakiwa wananyanyasika ndo mnakuaga wa kwanza kuwafata na magleda kwa waume zao kuwarudisha home. Tumetofautiana. Afya yangu furaha yangu. Ni muda tu atarejea tena. Ndo maana amesema hamaliizi maneno yote na nimenwelewa. She is giving it a try kwakua ndo kamshika 1st time. Pia haimaanishi maybe ndo 1st time kwa jamaa kucheat.
Unazungumzia greda tu! Nitakodi kifaru kabisa 😂😂😂 siwezi kuona malikia wangu analetewa ujinga kabisa wakati baba yake nipo!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] basi pambana. Laters tusije sumbuana na vilio
Nimekwambia ni swala la muda tu sie ndio waume zenu 😂😂😂 itafikia mahala we will meet and make it happen!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom