Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah hawezi kukubalia amini kwamba! Labda uwe mwanamke mrembo sana kama Zari vile 😂😂😂Na hapa ndo hamkubaligi mukipigwa comeback[emoji2222][emoji2222][emoji2222] hapo natafuta kivulana ama kijukuu cha bestfriend wako roho okuume vzr zaidi[emoji23][emoji23]
Sio kwamba sisi tunataka tu hela, maisha itself ndio yanataka hela, hela ndio inafanya maisha yawe mazuri, hata huko kumtreat mpenzi vizuri ulikokubali pia kunataka hela,Sawa mi nakupenda nakutreat vizuri ila hela za kuku spoil sina! Hapo tutaelewana kweli maana mapenzi mnataka na hela mnataka ila wanaotaka hela ni wengi kuliko mapenzi na ndio wanatuyumbisha sana😂😂😂 sokoni!
Umeona eee unashtua shtua mara moja moja na yy awe makini zaidi hahaasAngalau awe attention kuwa mmiliki upo unamzoom[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
SahihiUmeona eee unashtua shtua mara moja moja na yy awe makini zaidi hahaas
Ukanitumie tu parcel yangu kwenye Sauli pale😂😂😂Madamme, nikutumie parcel kwa bodaboda ama basi lipi[emoji23][emoji23]
Yaan vinavyoongeaga humu utafikiri vina hela vyote[emoji706][emoji706] nani asiyejua majority ya families ni wanawake wanahudumia. Na kwa hela gani walizo nazo. Wanashupazaga shingooo. Eti kwakua unahudumiwa ndo iwe ticket ya kucheatiwa. Unyanyaswe umerishika kwakua mume anahudumia. Vijana wamekua mchelemchele kweli. Mngejua tunavyowadharau basi tu. Majukumu hamtaki mnataka maisha mazuri na sent tano hamna. Kazi kudanga tu. Kuhamisha kwa mke kupeleka kwa michepuko. Halaf malipo ni kumuumiza kwa hela zake na mapenz yale kwkao na maradhi juu. So suala la kuhudumia mukae kwa kutulia. Na mnalijua hilo.
Mnataka nani ahudumie familia? Au nyie ndo mumeolewa?
Ni ujinga kama huu ndo wana kazi ya kutuambia sisi siyo wife materials. Na si kila jambo litokee mpaka uwe kwenye hiyo scenario. Wanapaswa kujua kila mtu ana standards na limits katika maisha yake. Let it be mtu ameolewa ama lah. Hauvumiliki ujinga ili uonekane mwnaanke bora hapana. Mwanamke bora ni pamoja na kujua bora yako. Tuna ndoto zetu kubwa sana za kutimiza. Hatupendi so called ndoa za kuchekupiana ndo ziwe sababu ya kuua ndoa zetu kila siku kwa vilio vya samaki mpaka tushondwe kuwaza na kujenga ndoto zetu. Kama kuwa submissive ndo mke bora basi miye sitaki. Mfumo dume unazidi kuharibu vijana wetu sana.
Uzuri siyo sura. Na zari ni mtu wa mafilters. Mamitandao hudanganya sana. Hawa mastaa wasikubabaishe. Kinachoumiza ni memmories na reality ya upendo muliyoishi. Michepuko mingapi mikali imetemwa baada ya akili kuwarudia na kurudi kwa wake zenu wapendwa. Uzuri si suraHahahah hawezi kukubalia amini kwamba! Labda uwe mwanamke mrembo sana kama Zari vile [emoji23][emoji23][emoji23]
Hio nimekupa scene tu ya jinsi ilivyo, sasa kumbe mapenzi yanaenda na both items...Most of you ladies like being treated thus why mkiona opportunities you find ways to flirt with guys!Sio kwamba sisi tunataka tu hela, maisha itself ndio yanataka hela, hela ndio inafanya maisha yawe mazuri, hata huko kumtreat mpenzi vizuri ulikokubali pia kunataka hela,
Sasa kama hela huna maana yake hutaweza kumnunulia hata perfume kwenye birthday yake sasa hapo mtu atakuwa anadate mwanafunzi wa sekondari au mtu mzima mwenye akili timamu??
Ehee sio akili kwa kweli hasa kwa sie wenye akili i cant choose an orange over avocados!😅Uzuri siyo sura. Na zari ni mtu wa mafilters. Mamitandao hudanganya sana. Hawa mastaa wasikubabaishe. Kinachoumiza ni memmories na reality ya upendo muliyoishi. Michepuko mingapi mikali imetemwa baada ya akili kuwarudia na kurudi kwa wake zenu wapendwa. Uzuri si sura
Na hata tukiangalia ukweli... hapa mitandaoni munapigaga kele tu mke mwenye tako sijui sura ila mumeoa wake wa kawaida mno. Uzuri wa sura pia siyo akili. Tumeelewana.
Halooo, unamwonea huruma??
Ningekuwa mimi kwenye hiyo nafasi yako sijui ingekuwaje yaani. Vile ningeliamsha dudeee.
[emoji23][emoji23] sauli benzi ama scania? Chagua[emoji23][emoji23]Ukanitumie tu parcel yangu kwenye Sauli pale[emoji23][emoji23][emoji23]
Etu anahudumia familia vizuri so achepuke tu aseeeeeeeeeeeee
Basi ndo tumeshakutana. Kila mtu atabaki na ujinga wake. Nimeamini limits ndo kila kitu. Yaan usikubali kiwango cha ujinga kivuke mipaka. Tutafute hela tuwaoeHawa sio kwamba wanataka wake submissive: wanataka wake wajinga wa kuwapelekesha kadri inavyowapendeza wao
DahKatika kagua kagua simu nimekutana na msg ya mchepuko anakumbushia ile biashara aliyoambiwa aaangalie kama itafaa afunguliwe biashara tayari mbona kama mume amenyamaza? jibu la mume ni kwamba "Tutaongea mama".
Nilipata ka mshtuko na ka hasira kidogo lakini baadae nikaingiwa na huruma sana nikimuangalia mume wangu.
He is so good kwetu mimi na watoto yani hakuna kitu tuombe asitimize. Ila huruma imenijia kwa sbb ana majukumu mazito mbele yake kwa sasa na huyu mchepuko hajui anawaza hela ya biashara.
Na kuhusu kumwambia nimepanga nimwambie yeye aendelee na mambo yake hela ni zake bwana ila chonde chonde asiniletee magonjwa as kwangu mimi nimetulia na najiamini kwa asilimia 100.
Na kupambana eti na mchepuko sijui kupambana na mume siwezi kisasi ni cha Mungu. Halafu kwa nature ya wanaume walivyo ntagombana na wangapi. Au mnasemaje wadau?
Mie ninamuonea sana huruma maskini unakuta anawaza familia kumbe kuna ka mchepuko kanampa stress tena naogopa kasije kakamroga akatusahau, Nifanyeje?
Unazungumzia greda tu! Nitakodi kifaru kabisa 😂😂😂 siwezi kuona malikia wangu analetewa ujinga kabisa wakati baba yake nipo!Ndugu, tumetifautiana. Na muda uendavyo mambo hubadilika. Afya yako ndiyo mtaji wako. Mnakua wepesi kunena haya ila mabinti zenu wakiwa wananyanyasika ndo mnakuaga wa kwanza kuwafata na magleda kwa waume zao kuwarudisha home. Tumetofautiana. Afya yangu furaha yangu. Ni muda tu atarejea tena. Ndo maana amesema hamaliizi maneno yote na nimenwelewa. She is giving it a try kwakua ndo kamshika 1st time. Pia haimaanishi maybe ndo 1st time kwa jamaa kucheat.
[emoji23][emoji23][emoji23] basi pambana. Laters tusije sumbuana na vilioEhee sio akili kwa kweli hasa kwa sie wenye akili i cant choose an orange over avocados![emoji28]
Nimekwambia ni swala la muda tu sie ndio waume zenu 😂😂😂 itafikia mahala we will meet and make it happen![emoji23][emoji23][emoji23] basi pambana. Laters tusije sumbuana na vilio