Nimemuonesha mke wangu wanawake wanaojiuza ili ajue thamani yake

Jamaa umezingua,, kwan hyo mke wako ulimchagua kutoka kwenye hilo kundi la makahaba ndo ukamuoa? Ulichofanya sio sawa! Sema huyo mke anakuogopa sana, mwanamke mwingine mngeachana hapohapo!
 
Take IT easy YOUNG fella.If only the complex was so simple.Imagine wale wanaojiuza pale ni wake za watu,wachumba za watu na mama za watu.The utaelewa kwamba IT is not THAT simple.

All in all.Ramadhan Kareem.Swaumu Njema.Take Good of Yourself and Your wife.
 
Ningekuwa Mimi ningekwambia niache ukaoe hao wajinga, na ningekupa kichambo kuwa hunitishi nakutana na wanaume pia tofauti tofauti, marriage sio favor aisee
I think wewe ndo mjinga mwenye akili kuliko wote(no offence meant).Marrying some one is not a favor.He should know that.
 
Labda siyo wa sinza XX
Wanamfahamu Mkeo au walijua unatafuta wa three some.BY the way hio sio namna ya kuthibitisha kwamba unampenda mkeo.Umepotea sana.Kama hukumtoa bikra wewe then she is just a retire hoe.So learn to respect women.We need them as hoes and as wives.After all.
 
Sasa hivi mkeo anaanza kuwaza wewe humuamini au wewe ni dhaifu amini umepunguza asilimia kadhaa za yeye kukuona wewe mwanaume.

Saizi mkeo anawaza umejuaje vichochoro vya Ambiance, umejuaje bei zao aisee mkeo ajachukulia poa ilo tukio anasubiri tu ripoti ya CAG achukue maamuzi

Inauma ila ndio ukweli umemtengenezea mkeo sababu yakukuchukulia poa. Akiliwa utakuja lalamika huku wakati chanzo ni wewe.
 
Aisee,kweli mtegemea cha ndugu....kwani huyo dada hana mvuto kabisa wa kuolewa na bwana mwingine mfano wewe ukimkacha? Maana daa.
 
Acha tuu hichi kipindi huwa na mitihani.ata ela utaona unazipata sana ila ndo huwez kufanyia ujinga uliouzoea
 
Mkuu, ulifanya jambo la kitoto sana.ni aibu kulileta hapa...kama ingemgusa shem unavyodai..angelileta hapa mwenyewe....

Naamini haukumuoa kwakuwa alikuridhisha...ni kosa kufananisha mkeo hata na x wako...ulimkosea sana.

Kamabuna miaka zaidi ya 35 basi IQ yako iko below average.
Kisha unajiita great thinker...
Natanguliza samahani...

 
Kuchapiwa hakuna solution.

Uwe na hela, uwe na mtwangio mkubwa, uwe na tako kubwa, uwe mzuri, au uwe na vyote kwa pamoja KUCHAPIWA HAKUEPUKIKI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…