Nimemwachia mali zote, naanza upya

Mkuu sorry wewe ni Msukuma? Huwa mnachukuliwa powa sana na hawa viumbe
 
Uanaume.ukisikia 'man up' maana yake ni kama hivi.wanaume sisi huwa tunaumia Sana na hizi Mambo za ndoa Ila basi tu mfumo ambao upo ndo huu wa mwanamke mnyonge wakati wote.

Hatutakiwi kuwa na stress kuhusu mahusiano wakati ambao tayari tuna mapambano kwa ajili ya familia.piga chini tembea wanawake,Mali Ni fitna tu.kama zimepangwa utazitafuta Tena na utazipata.
 
Karibu.... Unajua mwanaume wa kuweza kukaa na mke wake bila kulazimisha tendo la ndoa ni shujaaa au mnyonge ... !!!?? Ukipata jibu utajitambua upo kundi Gani .... Pole....
Yaani we ndo shujaa sasa ngoja nimpigie simu putin ukae mstari wa mbele huko ukraine,halafu mzee baba jukwaa la mikeka tumekumis
 
I WISH TUUJUE UPANDE WA PILI, inawezekana kweli dada akawa na matatizo ila pia inawezekana mengine u r the reason, na pia i wish ungekuwa bado hujafanya maamuzi ili tukusaidie ushauri but too bad umeshafanya maamuzi ni kama umetupa tu taarifa. Pole sana
 
Kuhusu swala la mzigo, umeshindwa hata kumfinya ili akupe haki yako ndugu?punguza upole...
 
Mkuu mtu akiamua kukuachia kila kitu , ujue kuna kitu kizito hapo.
Hata ukisikliza pande zote mbili naamini upande wa huyu mleta uzi utakua na nguvu...
Sawa tumuombee hiyo nguvu isiwe ni juma dede kusinzi kila wakati
 
Nakazia. Hizi saluni za kike, viji office na hasa vikoba ni shida tupu. Nimeshasikia watu wengi sana wanalalamika vinawaharibia mahusiano ndoa zao.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Huna tofauti sana na mimi, mimi nilipangiwa ratiba ya kupewa mbususu, wakati mwengine inafika wiki mbili sijapewa eti ""hajisikii"" kuna ule wimbo wa baba paroko. Kama alinilenga mimi.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mbona gafla mkuuu? Kweli kitandani unamtimizia mkeo? Nachojua mwanamke kama matumizi ya familiya hayasumbui na kitandani shoo unaiweza hawezi kukulete dhalau.

Yaani mambo ya kitandani ndio umeona ya msingi sana kwenye mada ya jamaa

Kweli botha na trump walikuwa sahihi alivyosema waafrica tunawaza sex tu muda wote.
 
Weee afisa ushirika mbona una mikwara ivo shemeji hajakupa mbususu mwaka.?aisee shida nn
 
Doh, pole Sana aisee. Wanawake ifikie mahali tubadilike kdg. Hii haki sawa hii itatuponza...

Kusikiliza mashoga watoe ushauri wa ndoa yangu, hapana kwa kweli. Khaaaa!!!!
Waambie wanawake wenzako mkiiendekeza Beijing itawapeleka pabaya. Ndio maana hata God alimuumba Adam, baadae akaona nimpe msaidizi ndia akaumbwa Eva au Hawa. Kwanini asiwaumbe kwa pamoja?


Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mbona mna mitihani jamani.
Ndo ndoa ziko hivi[emoji848][emoji848]
 
Yaani hawa wanawake ambao kutoa mzigo ni wale wagumu yani hata msuluisheje mkirudiana atakupakupa mwanzonimwanzoni hapo,baada ya muda ataanza tena kulala na jeans lake.

Yaani hawa ni wale wanawake ambao kabla hawajaolewa walikuwa wanauza mbususu.

Sasa unavyomgonga wewe anaona unamgonga bure bila kulipia,ndo maana roho inamuuma hanakunyima.

By the way uamuzi wako nimeulewa sana.
 
Huna tofauti sana na mimi, mimi nilipangiwa ratiba ya kupewa mbususu, wakati mwengine inafika wiki mbili sijapewa eti ""hajisikii"" kuna ule wimbo wa baba paroko. Kama alinilenga mimi.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Me yamenikuta sana haya mambo, nikaona isiwe shida nikaoa mke wa pili.

Akaanza kulalama ooh utachelewa sana kupata maendeleo nikamwambia sina shida ya hayo maendeleo.

Sasa hv heshima na adabu, tena akiona kesho ni zamu ya mwenzie anatoa show ya kibabe ili nikifika kule nichemke
 
Pole sana.

Ila fanya maamuzi sahihi...nina uncle wangu mmoja aliwahi mwacha mke wake na maliza zake zote, akaondoka na nguo alizovaa tu. Hajawahi kutoboa tena zile levels alizokuwa nazo mpaka leo.
 
Pole kwa maumivu! Unless una mapungufu yanayokufanya umwage manyanga. Mwanaume lijari hawezi kumkimbia mwanamke hata iweje!

Kauli ya kijinga sana na yenye Udhaifu wa hali ya Juu...

Nani alikuambia huo ujinga ndio urijali....na kufa kisa mwanamke ndio ushujaa..???

Umekuwa MANIPULATED na hawa feminist na ukaaminishwa ujinga,, Grow up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…