Nimemwachia mali zote, naanza upya

Oa au uolewa na rafiki yako na awe anaijua vizuri akili yako..... Siyo wewe unataka kwende Kidimbwi yeye hataki......
Unajua ni Rafiki yangu kinyama... Nimesoma nae na tumeishi kitaa kimoja .... Namjua vizuri Ananijua vizuri ...ndio maana mpaka sasa anahangaika kulimaliza nirudi nyumbani .... Tangu majuzi nilikuwa nahangaika kutafuta makazi .. nimetulia sasa ndio najibu ... Keshawapia mama na mama yake wapo nyumbani (nilipoondoka) .... Niende tukayajenge .... Nimewaambia tu awahadithie madhila yote aliyonifanyia mpaka Mimi kuondoka .... Mkiyaelewa ndio tukae tunaaamuaje kuhusu malezi ya watoto sio kurudi Hapo.
 
Nna miaka 13 kazini .... Na mwakani nikipanda namalizia vyeo vyote vya Serikali ..nakuwa Principal Officer...nabakiza teuzi tu.... Nna miaka 36... Huyu mwanamke sijui kimemkuta Nini .... Na mahakamani nimeshapeleka ombi la kuvunja ndoa .... Ndio anahangaika isivunjike ....
 
Pole mkuu. Ila haikuwa sawa kumuachia kila kitu. Lakini kuna wakti ukifika nakuelewa mkuu. Liwalo na liwe. May God give you peace mzee. Unaihitaji right now.
Uhuru wa akili na ubongo ni Bora zaidi ya Mali mkuu..... Mali zinatafutwa kiongozi ..ila ukikosa uhuru wa akili ndio unasikia watu wamewehuka na kuchizika .....
 
Iko hivi nimeshapeleka ombi la kuvunja ndoa ... Na katika ombi pia nimesemea ...nyumba hii na viwanja hivi abaki navyo ...Mali zote nimetafuta mwenyewe kanikuta nazo .ila naukachia hizi.. Nina mashamba babuuuu....usukumani huku kwimba
 
Tatizo kubwa ni kua wanawake hawapendani na wao wanalijua hili sasa sijui kwanini wanaaminiana.

Hawapend kuona mmoja wao kawazidi wenzie
 
We Mzee 2016 .....
 
Amekuwa na makundi sio...
 
Unamuachiaje mwanamke kila kitu...?Hapo umempa uhuru wakufanya anacho jisikia unachotakia n kumrudisha kwao atulue kidogo
Mbona hazitaki ... Kamuita Mama yangu na mama mkwe ..baba yangu kafariki 2002, baba yake kafariki 2020 .... Anachoomba nirudi nyumbani atabarika ... Anajua jinsi navyopambana ... Nimemwambia baki navyo ... Ameomba mpaka Misa ya kubariki ndoa ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…