Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
- Thread starter
- #141
Sawa nimekusikia Mungu wa JF UJUAYE YA WOTE.Utarudi tu we bado mnyonge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa nimekusikia Mungu wa JF UJUAYE YA WOTE.Utarudi tu we bado mnyonge
Mjomba .... I learnt the hard way ...kumbe tatizo ulitengeneza mwenyewe bana ,
Mwanaume mpumbafu sana wewe..... Unaweza kuingiliana mwanamke Kwa nguvu na ukafurahi !!? Bila ridhaa yake!!? You must be insane.If you sleep till the sunrise... Aaah you shoga!
Unajua ni Rafiki yangu kinyama... Nimesoma nae na tumeishi kitaa kimoja .... Namjua vizuri Ananijua vizuri ...ndio maana mpaka sasa anahangaika kulimaliza nirudi nyumbani .... Tangu majuzi nilikuwa nahangaika kutafuta makazi .. nimetulia sasa ndio najibu ... Keshawapia mama na mama yake wapo nyumbani (nilipoondoka) .... Niende tukayajenge .... Nimewaambia tu awahadithie madhila yote aliyonifanyia mpaka Mimi kuondoka .... Mkiyaelewa ndio tukae tunaaamuaje kuhusu malezi ya watoto sio kurudi Hapo.Oa au uolewa na rafiki yako na awe anaijua vizuri akili yako..... Siyo wewe unataka kwende Kidimbwi yeye hataki......
Nna miaka 13 kazini .... Na mwakani nikipanda namalizia vyeo vyote vya Serikali ..nakuwa Principal Officer...nabakiza teuzi tu.... Nna miaka 36... Huyu mwanamke sijui kimemkuta Nini .... Na mahakamani nimeshapeleka ombi la kuvunja ndoa .... Ndio anahangaika isivunjike ....Ndugu zangu Offisho_Kid na Uchira 1 ukimsoma huyu mwamba inaonyesha yupo kwenye "Maumivu makubwa ya roho na moyo"
Unaweza kumuona kwa nje yupo ""smart na vizuri and so on"" ila kiuhalisia mwamba anateketea rohoni.
Siku hizi Kuna ma feminist wengi sanaa wanaojiona wameelimika na wanaweza ku control wanaume.
Ole wako ukutane nao Hawa...!!!!!
In the second side, Ukiwauliza Espy Atoto Noelia at El. Wana msemo wao ""Ndoa ni kwa wanaume wenye akili"" ila sijui kama wanao olewa nao wanatakiwa kuwa na akili..!!
Hapohapo uki "cite" hizo post mbili hapo juu za mwamba, utaona kuwa huyu jamaa alijitoa kwa moyo na pesa ili mke wake aridhike ila badala yake kawa mwiba.
Huyu ndio wale walioambiwa "mwenye kuoa ndio ana akili" basi na yeye akajifanya ana akili na kuoa ila LEO YAMEMKUTA.
Ndugu yangu Mtoto wa nzi Mimi ni mtumishi mwenzako mwenye miaka 32 na miaka 10 Utumishini.
Inaweza kuwa umenipita miaka (umri) na muda wa Ajira au "the vice versa".
Ndugu, katika jambo ambalo nasisitiza na naendelea kusisitiza kwa watumishi wenzangu ni kwamba USIOE USIOE USIOE.
Una mshahara na muda, basi tafuta biashara au uwekezaji "and go for it".
Tafuta hela uishi maisha yako.
Pesa itakupeleka kokote utakako, hata huko kwa Mungu ukitaka kwenda ni rahisi kwenda kama una pesa. Si utakua unatoa sadaka na zaka na kusaidia wahitaji?
Sasa mnaoa ili mtafute nini? MTAKUFAAA.
Mambo ya kuweka mtoto wa watu ndani ili aje kukuumiza na kukutoa roho "Ya nini yote?"
Wanawake wa siku hizi wamefundishwa haki sawa.
Na hili wameli-apply kwenye kila kitu.
Ukitaka kufa mapema dunia ya sasa WE OA.
Ma-feminist WATAWAUAAAA.
Nimemaliza.
Mwenye sikio na asikie.
#YNWA
Uhuru wa akili na ubongo ni Bora zaidi ya Mali mkuu..... Mali zinatafutwa kiongozi ..ila ukikosa uhuru wa akili ndio unasikia watu wamewehuka na kuchizika .....Pole mkuu. Ila haikuwa sawa kumuachia kila kitu. Lakini kuna wakti ukifika nakuelewa mkuu. Liwalo na liwe. May God give you peace mzee. Unaihitaji right now.
Iko hivi nimeshapeleka ombi la kuvunja ndoa ... Na katika ombi pia nimesemea ...nyumba hii na viwanja hivi abaki navyo ...Mali zote nimetafuta mwenyewe kanikuta nazo .ila naukachia hizi.. Nina mashamba babuuuu....usukumani huku kwimbaMkuu usilianini kamwe chozi la Mwanamke ...alicho kifanya sio kwamba hakijui . Hivyo vikao vyote ni yale maumivu ya kuachwa yanamtesa kwa sababu wewe umeanza kumuacha. Na ninacho kushauri kanyagia hapo hapo .
Endapo ukatudiana nae yeye ndio atakuacha Sasa huku na Mali zote umempa utalia kilii Cha mbwa mwitu
kweli wewe mtoto wa nzi, yaonekana ulitua kwenye mzoga. pole mkuu
Oa au uolewa na rafiki yako na awe anaijua vizuri akili yako..... Siyo wewe unataka kwende Kidimbwi yeye hataki......
We Mzee 2016 .....Mzee hiyo hatua uliyochukua ni ya kijasiri sana na itakusaidia wewe.
Kwamba ndoa haina hata mwaka na mmeanza kunyimana mbususu ujue mke siyo wako. Lazima uchomoke.
Tatizo ni kwamba siku utakapowasikiliza ndugu na kuamua kurudi ndo utakuwa umeingia kingi. Utateseka sana. Bora uondoke mapema.
2020 nilimsaidia mshkaji wangu mmoja alinunua nyumba na mwanamke wake (siyo mke halali) ila tifu lilianza baada ya kuhamia kwenye ile nyumba. 5 bedroom apartment iliyogharimu around 400,000 €.
Mpaka leo jamaa anaishi kwenye apartment amepanga huku anaendelea kulipa mkopo wa ile walionunua pamoja maana ametambua hana mshirika kwa yule mwanamke mzungu.
Mwanaume ni maamuzi! Tena maamuzi yawe magumu na ya kuumiza kwa wakati huo ila ni dawa.
Mtoto wa nzi mm ni rafiki yko sana kwenye jukwaa letu la Vita vya urusi na ukraine
ila tatizo lipo kwenye dini yenu kuruhusu mke mmoja kiukweli Mwanamke mmoja ni Mama mzazi tu
Uislamu haukukosea ulivosema tuoe wa4 mna Muumba anawajua hao viumbe
All in All tafuta usahihi katika hizi dini mbili
Amekuwa na makundi sio...Kunywa maji
Shusha hasira
Kaa na mkeo.mzungumze
Akwambie yanayomkwaza na wewe useme yanayokukwaza
Ndoa ni wawili
Kwa njni muache issue zenu zisambae kwa ndugu wachungaji na jamaa
Kuna sababu akawa anakunyima kuwavtayari kumsikiliza
Umpe nawewe za kwako
Muamue kwa pamoja kuyajenga
Ndoa sio lele mama ndugu. Na hasa kama mna watoto.
Kuna kipindi unaweza kumuangalia mwenzio ukawaza hii ng'ombe umeitoa wapi!!!
Mbona hazitaki ... Kamuita Mama yangu na mama mkwe ..baba yangu kafariki 2002, baba yake kafariki 2020 .... Anachoomba nirudi nyumbani atabarika ... Anajua jinsi navyopambana ... Nimemwambia baki navyo ... Ameomba mpaka Misa ya kubariki ndoa ....Unamuachiaje mwanamke kila kitu...?Hapo umempa uhuru wakufanya anacho jisikia unachotakia n kumrudisha kwao atulue kidogo
Una mke !! Au demu??!!Hivi mzigo Kwa wanandoa unaombwa? unaombwaje!!
Mke wangu naomba mzigo??
Sitaki!!
Poa!!
Mnageuziana migongo.
Futuhi!
Nashukuru ...Sasa unampaje Mali??.
Hauna akili.