Nimemwachia mali zote, naanza upya

Nimemwachia mali zote, naanza upya

Kauli ya kijinga sana na yenye Udhaifu wa hali ya Juu...

Nani alikuambia huo ujinga ndio urijali....na kufa kisa mwanamke ndio ushujaa..???

Umekuwa MANIPULATED na hawa feminist na ukaaminishwa ujinga,, Grow up
You must be another weak man who accepts abuse from his wife!
Kwanini mkeo atake kukuua? Lazima kutakuwa na sababu mbaya itakayomfanya mwanamke afikie uamuzi mzito kama huo!
Huko unakokimbilia hutakuwa na mahusiano?
 
Hio sifa uliyoweka na kuipamba kwa kuiita Urijali sio sahihi...

Sikulamizishi unikubali ila Kuna siku utakuja kunielewa nilichozungumza,,, kwa sasa acha hisia zikuendeshe ila siku ukiipa nafasi akili yako utanielewa...

Jipe Muda,, usipoelewa maneno basi Mazingira yatakufundisha.
 
Unaweza kunieleza kwanini hii sifa ya Urijali sio sahihi?
 
Kaza bwana weee,hapana chekacheka.yeye akae kwenye nafasi yake ya uanamke.Mnyooshe,yaani akikuona aheshimu kuwa wewe Ni mume.
 
Kipengele kimoja tu ulikosea, mke au mchumba hasomeshwi. Tena kama ni FFF ndio kabisa hasomeshwi, sababu..? Siwezi sema hapa...akae home alee watoto.

Ila kama mke umemkuta ana diploma yake maana tayari kuna anachojua, for the sake of your kids akitaka kujiendeleza basi mpe nafasi.

It's very sad kwamba you have to start all over kisa ndezi mmoja asiyejielewa.
 
Hivi mzigo Kwa wanandoa unaombwa? unaombwaje!!

Mke wangu naomba mzigo??
Sitaki!!
Poa!!
Mnageuziana migongo.

Futuhi!

Very simple yani.
..sitaki
..poa

Nageuza mgongo napiga usingizi wa kwenda, the next morning natuma text, "hi babez I've missed you, upo kweli?", baada ya hapo I know by 2200hrs nitakuwa nimemaliza haja za mwili.
 
Nakusapoti mkuu. Mi nakaribia mwaka wa pili nilimuachia kila kitu nikaanza upya.
Iko hivi mwaka 2019/2020 ndio nimemaliza chuo nilipanga na mke wangu hapa centa yetu, msimu ukafika nililima mpunga majuruba ya kwetu nusu ekari, kwao tulipewa ekari moja na nusu, tukavuna kama gunia 25, majuruba ya kwao tulipata gunia 18. Nilianza kusimangwa kwa hivyo vigunia kulivyolima kwao.

Ikafika nikawa naambiwa sina lolote, siwezi hata kuajiriwa. Nilichofanya niliuza gunia 7 za mpunga tulizopata kutoka majaruba ya kwetu, vingine vyote nilimwachia, vitu vya ndani, mpunga na gunia za mahindi tano. Nilianza upya sahiv afadhali, yeye akauza mpunga akapewa kiwanja hapohapo kwao akajenga slopu mbili chumba na sebule.

Saa hivi naambiwa tujenge tuwe wamoja hapo alipo amepachoka, maana alipojenga kuna mkubwa wake pia single mother na watoto watano, jumlisha kwao, msongamano unamsumbua.
 
Stori isiwe ndefu.

Mke wangu mtumishi na mimi mtumishi. Anatiwa ujinga na wenzake kila siku, tuna viwanja viwili na kimoja tumejenga. Leo nimempelekea hati za viwanja vyote na a akae navyo.

Na nimemwambia nakuachia mali zote usiliwe KIZEMBE liwa ukiwa na hamu. Naondoka wasikilize hao marafiki zako. Simu nazopigiwa sio za dunia hii.

Nimeamua kumuachia mali zote, nianze upya. Wanawake Mungu anawaona. Sasa naombwa vikao kusululisha wakati ana nionea kijinsia hakutafuta ndugu. Nimekaa miezi hanipi mzigo kwa ustaarabu sikutaka kumuingilia kinguvu.

Leo namuachia kila kitu nilichopambania ameita familia kutatua na kujadili nirudi kwenye ndoa ambayo hajaihudumu zaidi ya mwaka. Mimi Mkristo Mkatoliki ila huu ujinga sitaki

Nimempa kila kitu nianze upya.

Haya viumbe akili zao wanazijua wenyewe tu
 
Wewe unatania eti unaanza upya kwa ndoa ipi ya kikristo au yakiislamu.
Kikristo hauwezi kuacha hadi umfumanie hapa sasa naona unaota .
Rudi kwa mkeo acha hasira kama hakutaki.
Mwambie tu kiustaraabu naanza penzi na maisha na mtu mwingine ila tutakuwa tunashiriki tendo pale tunapohitaji watoto sasa pole .
Sitaji penzi lako tena nahitaji tu familia njee nitaenda kutoa penzi ndani nitakupa watoto hutaki basi vyote natoa nje .
Nahuku siji tena.
 
Kipengele kimoja tu ulikosea, mke au mchumba hasomeshwi. Tena kama ni FFF ndio kabisa hasomeshwi, sababu..? Siwezi sema hapa...akae home alee watoto.

Ila kama mke umemkuta ana diploma yake maana tayari kuna anachojua, for the sake of your kids akitaka kujiendeleza basi mpe nafasi.

It's very sad kwamba you have to start all over kisa ndezi mmoja asiyejielewa.
Ahahahahaha mkuu hii kauli ya ndezi.
 
Wewe unatania eti unaanza upya kwa ndoa ipi ya kikristo au yakiislamu.
Kikristo hauwezi kuacha hadi umfumanie hapa sasa naona unaota .
Rudi kwa mkeo acha hasira kama hakutaki.
Mwambie tu kiustaraabu naanza penzi na maisha na mtu mwingine ila tutakuwa tunashiriki tendo pale tunapohitaji watoto sasa pole .
Sitaji penzi lako tena nahitaji tu familia njee nitaenda kutoa penzi ndani nitakupa watoto hutaki basi vyote natoa nje .
Nahuku siji tena.
Wewe unaisho dunia ya wapi. Ndoa za kikiristo siku hizi zinavunjwa mahakamani. Kisheria ndoa zote ni lazima zivunjwe na mahakama si ya kiislam au ya kikiristo. Mchakato unaanzia huko kanisani, BAKWATA au mabaraza ya kata. Ila talaka ni mahakamani. Hata waislam wengi wanaachana tu kienyeji sio kisheria
 
Kuna mwengine huyu hapa!
Screenshot_20220511-200607_GBWhatsApp.jpg
 
Pole sana mkuu. Subiri feminist waje kukuambia hizo ni changamoto ndogo tu katika ndoa na kwamba ili uonyeshe uanaume wako ulitakiwa upambane nae msuluhishe muendelee kujenga familia.

Mimi natoka kidogo ntakuja kuchangia baadae
.
.
.
Nimerudi. Wanawake sijui nani kawaroga siku hizi. Nahisi hawa mashosti wa saluni, ofisini na vikoba wanawaharibu sana.

Juzi nilikua nimeenda mgahawa flani hivi karibu na hapa kitaa. Pembeni kuna kasaluni ka kike mbele wamekaa wale masela wanaowapaka rangi madem pamoja na kuwasugua sugua miguu (kwa wakazi wa dar mtakua mnanielewa) aisee story walizokua wanapiga ni aibu tupu. Kuna mdada namjua kabisa ameolewa anawahadithia mambo yake ya chumbani na mumewe mashosti zake ambao asilimia kubwa pale ni masingo maza na wameshapoteza muelekeo wa kua na waume wa kuwaoa. Wengine wanamshauri "heee mie mwanaume hanipelekeshi hivyo shosti! Yani nimechoka zangu na kazi eti anilazimishe nimfulie manguo yake! Kah mlioolewa mna kazi! Si amtafute tu beki tatu!" Wakaanza kujichekesha kinafki.. Mwengine anadakia, "shosti yani ww pambana na watoto wako huyo bwana pasua kichwa wa nini na una kazi yako mamii! Tafuta mchepu akupunguzie stress! Siku hizi haki sawa akikuletea za kuleta unampeleka dawati la jinsia.. Kwisha habari yake!!!"

Daaah! Nikajisemea kwa hali hii mabachela tuna kazi sana kumpata mwanamke anaejitambua na kutambua majukumu ya ndoa..

Nakumbuka dingi yangu mdogo alikua na mke na watoto wawili, mjengo na usafiri wa kutembelea na biashara iliyosimama. Lakini alikimbia mji wake na kutokomea mikoani kuanza upya. Ndugu walikua wanaponda sana kile kitendo kiasi kila mtu alikua anamchukia kwa yale maamuzi. Wahenga waliosema kua uyaone hawakukosea. Sasa ndio nimekua nimeanza kumuelewa dingilai!
Kaka ..huyu "aliyekuwa mke wangu" alikuwa mtu mcha Mungu mwenye hofu ...tangu tupo O level namjua ... Nikaenda mbele kidogo advance sikusoma huku.. lakini nilikuwa namuona nikirudi likizo .... Tulikuwa tunaonana mara Kwa mara .... Na tangu nimemuoa alikuwa mwema tu ... Shida nilivyomuendeleza kielimu na kubadilishiwa kada alikuwa mhudumu tu wa ofisi ya umma.... Nilikuwa kimya Hapo kati Baada ya kuanzisha huu Uzi nilikuwa namtafuta makazi mapya vitu viwili vitatu vya ndani .... Lakini bado ameita wazazi wapo nyumbani kule eti tukajae tuyamalize ...mi nimewaambbia wakae na hao WANAOMPA KIBURI kwanza ....
 
Mnh! Hzi ndoa n changamoto, ukiwa na moyo wa plastik hakika unaweza ukawa kichaa.

Muhimu haujamuumiza mtu anza upya, kama ulifka ulipofka hakika unaweza fka na zaidi. Pambana, ukiamua amua kweli na s kutania.

Mara nyingi kitanda uschokilalia huez jua kunguni wake, sasa bas maamuz uliyofanya n sahihi maana ww ndye muhuska mkuu. Muhimu usvunje amani ya nchi......
Ndio maana nimeamua kuachia tusiende mbali .... Namjua vizuri ... Hakuwa na makuzi haya anayoyaishi sasa ...
 
Back
Top Bottom