Nimenuniwa na mpenzi wangu

Noted
 
🙄Kumbe na mimi ni smart boy🤣🤣🤣


😀😀😀

Hata diamond kuna watu walimwambia unajua kuimba hivyo unbidi kuimba bongo fleva and not hip hop


Means watu wote huwa tunamulikwa na watu then na sisi ndo tunaanzia hapo kufanya zaidi.

So, I spark you that ur wisest person and smart
 
Yeah bro asante sana😊
 
Uko sahihi


Detachment and attachment use this formula and you will never sense more pains.


Unagusa na kuachia unagusa tena unaachia the same wanafanya footballers in football game

Unajua madhara ya kukaa na mpira muda mrefu

Utapata injury Kirahisi sana .

When ur soulmate ameamua kukaa kimya fanya detachment and give him time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…