Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
- Thread starter
-
- #41
Babu nilimwambia mpaka tuoaneSasa hiyo kitu ndiyo ya kunyima kweli?π
Mapenzi ya sahivi hauachwi kwa kuambiwa, mtu anajikataa tu unabaki unadate mwenyewe....πM benzi wake , kashajiongeza yeye anafeli wap kuwa na mpenzi wake?
πππNa vitunguu umemeza πΉπΉ
Pole mariah muache kwanza yupo na mpenzi wake wakimalizana atarudi....
100%β οΈβ οΈβ οΈβ οΈβ οΈβ οΈNa vitunguu umemeza πΉπΉ
Pole mariah muache kwanza yupo na mpenzi wake wakimalizana atarudi....
Bado Naona Ni mapema Sana kuamua ivyo...najipa Moyo huenda atanitafutaSahivi mpenzi wake atakua na mpenzi wake afanye tu namna awe na mpenzi wake mwingine πΉ
KabisaMapenzi ya sahivi hauachwi kwa kuambiwa, mtu anajikataa tu ubanaki unadate mwenyewe....
Ahsante napotezea Ila naumiaMapenzi yanauma sana
Pole dear nawe mpotezee tu
Atarudi tulia tu usimsumbue...Bado Naona Ni mapema Sana kuamua ivyo...najipa Moyo huenda atanitafuta
Mpambe sana weweKabisa
ππππππππNishaacha dose now mwili umepoaNa vitunguu umemeza πΉπΉ
Pole mariah muache kwanza yupo na mpenzi wake wakimalizana atarudi....
Wanaume kwanini mnanunaPole ndivyo yalivyo
Vijana wanakwepa lawama ila kuacha kwa hivi pia wapata nafasi ya kuja kupasha viporo kiroho safiπππMapenzi ya sahivi hauachwi kwa kuambiwa, mtu anajikataa tu ubanaki unadate mwenyewe....
Vumilia tuNkiwa Na michepuko sitaenjoy Wala kufurahia love
πMpambe sana wewe
Hongera make ungekua na dozi unapiga kwakweli mambo yangekua mchanganyiko πΉπΉπΉππππππππNishaacha dose now mwili umepoa
Yani ACHA tu unakuta hujamkosea alikua anakupenda weee anakuonesha Upendo Kwa kila njia then ghafla mtu kimyaπRafikiyngu kapigwa tukio km Hilo wiki ya Tatu hii penzi moto ghafla mtu kimya piga cm wapi akampigia Kwa namba ngeni mwanaume akasema kuwa hamjui π
Ndio kashaachwa inaumiza balaa ila wanaume jamni
Acha mwenzako aburudike sasaSina Na siwezagi kuchepuka