Nimenuniwa na mpenzi wangu

Una uhakika una date na lastborn
 
Ndo siku Tatu kwann isiwe masaa 12 kwanza Haina afya mnuniane siku 3 km watoto
 
Babu mahusiano yetu ni machanga hajawahi ninunia ndo Leo pia sijamkosea last time tumeongea vizuri Sana ...babu nlifanya jitihada za kumuuliza Lakin kimya...niombe msamaha Kwa kosa lipi babu
 
Usikute kajamaa chako ni kalast born kalichokubuhu πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†.

Usimtafute kama kweli anakupenda atakutafuta mwenyewe ila ukiendelea kumtafuta atajiona mwamba amekukamata kweli kweli na hauna kimbilio so atatumia hiyo hali kukunyanyasa.

Watu wa hivyo huwa wanasubirigi msg kila saa wanaangalia simu zao ili waone kama wametafutwa sasa akiona kimya siku ya kwanza siku ya pili na yatatu kama kweli yupo na wewe hana mwingine na anania ya dhati na wewe lazima akutafute.

Zuia hako kakimuhe muhe tulia, ukimiss wakuchat nae njoo humu upoteze muda... ila asipokutafuta ndani ya wiki ujue wewe ulikua umeingilia mahusiano ya wenzio so jiongeze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…