Nimenuniwa na mpenzi wangu

Jamaa anaandamana hadi apewe tumbua๐Ÿ˜‚
Sio vibaya kutingisha kiberiti kidogo

Vinginevyo unaweza kupigishwa deshi hadi uchanganyikiwe

Mimi pia nakumbuka niliwahi kutumia trick kama hiyo Mwaka 47, japo mbinu kidogo zimebadirika ๐Ÿ˜œ
 
Sio vibaya kutingisha kiberiti kidogo

Vinginevyo unaweza kupigishwa deshi hadi uchanganyikiwe

Mimi pia nakumbuka niliwahi kutumia trick kama hiyo Mwaka 47, japo mbinu kidogo zimebadirika ๐Ÿ˜œ
Babu sasa hivi ukitingisha kibiriti kidogo unakuta ashafanywa chekecheke๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Sio vibaya kutingisha kiberiti kidogo

Vinginevyo unaweza kupigishwa deshi hadi uchanganyikiwe

Mimi pia nakumbuka niliwahi kutumia trick kama hiyo Mwaka 47, japo mbinu kidogo zimebadirika ๐Ÿ˜œ
Una ufalla mwingi dogo๐Ÿ˜‚
Nipe namba ya Dr. Wa Tabora
 
Lazima uwe mjanja kidogo, vinginevyo utaambulia mabua tu ๐Ÿ˜œ
Ukiwa nae na hayo mapenzi moto moto ,ujue kabisa kuna vijana wanawinda kama Simba, na wanasimamia ukucha kama dubu๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Una ufalla mwingi dogo๐Ÿ˜‚
Nipe namba ya Dr. Wa Tabora
Tunajaribu kuwaamsha Vijana, sisi tumeshazeeka Mzee mwenzangu ๐Ÿค—

Umejuaje nina namba ya Mzee wa Tabora, naanza kuwa na mashaka na Wajukuu zangu sasa ๐Ÿ˜œ
 
Ukiwa nae na hayo mapenzi moto moto ,ujue kabisa kuna vijana wanawinda kama Simba, na wanasimamia ukucha kama dubu๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Ikishafikia hiyo stage ndiyo nakumbuka wimbo wa Harmonize "Namficha Kwapani"

Ndiyo maana sitaki Vijana wa hovyo wamkaribie Bibi yao
 
Natafuta pakuanzia mkuu๐Ÿ˜Š
Binti Miss_Mariaah
Mchumba huyu so delete his silence and add min -me smiles

Lose his namba za simu and save za min -me sababu If heโ€™s not talking then heโ€™s not worth the storage space,za kijana hapo atakuwa your favorite contact

Trade his silence for heartfelt convo sababu best love stories start with deep talks kingine soft whispers na tu hela na tu zawadi kwa mbaaaaaali..! so kijana atakupatia

Unsubscribe from borinh sababu una deserve more than one word answers so kijana atakutendea vyema

May the ALMIGHTY bless your new journey of love with passion,connection and endless joy
min -me
Miss_Mariaah
 
Mkuu sijui kwanini hawajakuita kwenye masuluhishi ya migogoro huko ukanda wa gaza๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”
 
Mapenzi na Ngono ni vitu tofauti watu wana complicate sana.lakini kwenye mapenzi,ngono nikiburudisho tosha.
Unaweza ukasubiri muoane ndio mburudishane na mkaja kuachana!?.

Ila watu wanaweza kufanya ngono pasipo kuwa na mapenzi.swala la ngono nimakubariano kwa nyie kwamba mnahisi kushiriki ngono,sio big issue kwamba liwe na konakona wala sio swala zito ni sisi tu kuiwekea uzito.

Mfano.back in the days zambia.tulienda kwa rafiki wa mshkaji wangu (KE) alinitambulisha kuwa huyu ni friend wangu ni mbongo.manzi ikakolea ikasema naskia wabongo wako na taste yake.akaomba nimpelekee rungu nami skulembaaa๐Ÿ˜‚,basi ikawa kama Ameosha nyota,nawengine wengi.mfano usitumike kwa nia potofu.hii ni kwa hisia kuwa ukitafakali ngono sio swala la uzito.ila usizini na ndugu au familia chunga (mke wa mtu/mume wa mtu ni sumu)
 
Ni ngumu sana Mwanaume kumnunia mpenzi wake bila mwanamke huyo kua kiburi na jeuri. Ujeuri dharau au kiburi havinaga maelezo maana ni ngumu kupindua ikawa kinyume chake.

Tofauti na hapo hana Ujasiri wa kukumiliki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ