Nimenuniwa na mpenzi wangu


Najua sio lazima Kuduu, lakini Kuna namna mnaweza kufanya bila kuingiliana lakini mwenzio akarudi nyumbani akiwa mwepesi kabisa......tia nyama kidogo hapa babu🀣
 
Ni kawaida tukishakupata ndo tunaanza kuona kasoro, ukitembea tunajiuliza moyoni "Hee hivi huyu anatembeaje tembeaje hivi kama kapata ajali na mtei"
 
Enzi zangu,bila kunipea kitu niweke chululuu yangu hakuna mapenzi.

Nilikuwa "nipe ya kukojolea nikubabue and then tuzindue mahaba motomoto" nje ya hapo kila mtu apinduke apendapo.
🀣
 
Babu Yani hata hugging tu nimeweka ban ...inshory sitaman kuwa kwenye Hali yoyote ya physical intimacy Na yeye😌😌😌😌
 
Asipo kuelewa tena , acha ateseke tuπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Your backer’s got your six so ataelewa tu au tumfungulie kesi ya uhujumu uchumi wa mapenzi kwa kosa la kula pesa na kikojoleo hatoi.
 
Kama alikuhaidi mkumbushe ahadi yake.....ama vipi mwambie atume Wajumbe waje kwenu kuleta Posa

Otherwise anaweza kuonja na asirudi, maana Siku hizi Kuna aina nyingi za mapishi japo Mchele ni huo huo wa Kamsamba πŸ™Œ
Babu alisema atafanya Ivo soon
 
Your backer’s got your six so ataelewa tu au tumfungulie kesi ya uhujumu uchumi wa mapenzi kwa kosa la kula pesa na kikojoleo hatoi.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… mimi sijasema lakini
 
ndio anayeliwa ni mwanamke,wanaume anakula au unaongelea wale wanaume wanaopendwa kuliwa?
Hapana ,kamwe siwezi ongelea hao , ukiona wanawake wanafanyiwa kimasihara ,ujue na sisi tunafanya kimasihara ,both team to score mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…