Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,160
- 5,728
Legeza masharti Mjukuu, mwenzio anaweza kuwa ana hali mbaya huko alipo. Asije akaingia kwenye tamaa ya kwenda Riverside bar
Najua sio lazima Kuduu, lakini Kuna namna mnaweza kufanya bila kuingiliana lakini mwenzio akarudi nyumbani akiwa mwepesi kabisa......
Na hilo nalo tuliseme? Ngoja nikavute zangu Kiko miye huko nje 🤗
Najua sio lazima Kuduu, lakini Kuna namna mnaweza kufanya bila kuingiliana lakini mwenzio akarudi nyumbani akiwa mwepesi kabisa......tia nyama kidogo hapa babu🤣