Nimenunua home theater LHD657 Model, lakini cha ajabu ina Sauti ya kawaida sana

mkuu utoke mziki mzuri uliochujwa base yenye mkito. sasa cha ajabu base ipo chini hata ukiongeza hamna chochoke kinachobadilika. mfano volium ipo 100 ni ya kawaida sana ukipunguza mpaka 40 ndio imeisha hiyo
Umepigwa
 
Sema mziki wa namna hiyo unaweza jikuta una kazi yako nzuri tuu ila ukapenda kuwa jobless [emoji1787][emoji1787] ili uwe unasikiliza whole day
Mkuu najua umenielewa vizuri [emoji1787][emoji1787]
 
[emoji2956]
 
"Habari, watu wangu! Karibu Rahisi Point, mahali pa kujipatia TV na SABUFA kwa bei poa kabisa!
Tunakuletea ofa za kusisimua na huduma bora kabisa. Piga kambi nasi kwenye safari hii ya ununuzi smart! [emoji342][emoji91]

[emoji419][emoji419] Pia unaweza kupata OFFER YA Blender au jiko la umeme la Plate 2

OFFICE ZIPO TANDIKA ROUND ABOUT YA MAJARIBIO au
[emoji338]Piga 0686 886 507

[emoji419][emoji419]MIKOANI TUNATUMA KWA UAMINIFU MKUBWA [emoji120][emoji106]

IG - @Rahisi_Point
FB - @RahisiPoint
#RahisiPoint #TV #SABUFA #BiasharaSmart"
 
Unasema unaweza kata base ikawa "stereo tupu"?

Stereo unajua ni nini mkuu?
Stereo SIO Treble/mchicha.

Stereo ni 2 channels kwenye sound/audio.
 
Me natumia edifier. Hii kitu ni zaidi ya speaker. Haziharibiki wala hazichuji mziki wake ni balaa
Kwa Edifier hapa sasa tunazungumzia mziki.

It's a good entry level set inayokupa mziki halisi. I hope Edifier uliyonayo ni Active Speakers.

Inashangaza M'bongo anataka mziki halafu anaenda kununua Homethearte au soundbar(soundbar ni home thearte pia, in a bar)!!
 
Well
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…