Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 35,204 Reaction score 61,081 Sep 1, 2025 #41 Mbona sheria hii ni ya kimataifa? Ingekuwa tunajenga kiholela basi mimi nyumba yangu isingeangalia matokea jua bali ningeangalia magharibi Samahani ila huo ndio utaratibu na sheria ya wazungu tangu enzi Sisi hatujui kitu bali tumeachiwa vitabu tu
Mbona sheria hii ni ya kimataifa? Ingekuwa tunajenga kiholela basi mimi nyumba yangu isingeangalia matokea jua bali ningeangalia magharibi Samahani ila huo ndio utaratibu na sheria ya wazungu tangu enzi Sisi hatujui kitu bali tumeachiwa vitabu tu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Sep 2, 2025 #42 Pole sana... Cc: Mahondaw