kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,965
Ndio kashajichanganya teyari..Achana na hio kazi...fanya vitu Vingine
Weka GPS- itakusaidia kujua Pikipiki imetembea umbali gani na wapi kila siku ili usiwe unaongopewaWale wazoefu naomba msaada jinsi ya kuweza kuepuka kuletewa hesabu finyu. Nimewza niwe najaza oil full tank then yy anipe hesabu yote kisha nimlipe mwisho wa mwezi. Naomba ushauri, pia maeneo gani yana kua na wateja wa kutosha ili dogo atege hayo maeneo. Nipo iringa.
Nifanye nini?Achana na hio kazi...fanya vitu Vingine
Hahah pole mkuuKuna mshenzi ananisumbua wiki hii haiishi namnyang'anya pikipiki yangu
GPS bei gani?Weka GPS- itakusaidia kujua Pikipiki imetembea umbali gani na wapi kila siku ili usiwe unaongopewa
Una nishauri nini?Hsichukui hata robo saa kujifunza kuendesha pkpk
Mafuta anajaza nani?Hata kama huwezi kuendesha ndio ujaze Oil ful tank?
Unatakiwa kujaza Fuel full tank oil unaweka lita moja tu baada ya muda kadhaa kutokana na mizunguko yako...
Kwa piki piki ili usipate tabu
Mpe mtu mkataba kila siku uletewe 10
SawaKiongozi umeingia shaka kwenye hiyo biashara, hata petrol hujui unaita oil, hautatoboa kaka, akishakujua haujui kitu umekwisha.
Bado unaweza kunishauriNdio kashajichanganya teyari..
Bora mkataba jamaaHahah pole mkuu
Iuze hiyo pikipiki ongeza pesa wekeza kwenye ardhi au kitu kingine kama unaweza kupata mtu mpe mkatabaNifanye nini?
Mimi ticha kaka kibaruani ndo kumenipa iyo kitu then ni private. Sina Muda. NB usiniaambie niache kazi sitakuelewaBiashara za barabarani hasa pikipiki na bajaji ni changamoto labda wewe mwenyewe uendeshe ndiyo utafaidika.tofauti na hapo utafaidisha wengine tu.