Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani sana mkuumbona kama wengi wao mnamkata tamaa!,mi nachojua waafrika wengi kwenye usimamizi wa vitu hiwa tupo hovyo! ila hiyohiyo biashara akipewa muindi inaleta kitu!.
mkuu sio lazima kwako kujua kuendesha ila vitu kama services unatakiwa kuvijua,oil inawekwa kwenye engine, petrol ndo kwenye tank.. kubadilisha oil hutegemea na mizunguko pia ila vyema wiki mbili ubadili oil kwa usalama wa engine,mi sio mtaalum sana ila walau nina idea kuhusu pikipiki.
pia angalia barabara rough road huua chombo mapema,so vyema iwe mjini barabara walau za rami na wingi wa wateja pia.. pata kijana mwenye anajua nini anafanya sio anatafuta pesa tu ili afurahie maisha no future huyo hawezi kuwa na uchungu nachombo atakiharibu!. pia ubebaji wa mizigo vyema asibebe mizigo mizito sana kila mara itachokesha mapema chombo,pata mtu msafi mwenye anajali unadhifu na pia ajali unadhifu wa chombo pia,abiria wengi huvitiwa na hivyo vitu haswa wadada ambao ndio wateja wengi zaidi wa usafiri huo.
mengine watamalizia wengine.
Nishauri kakaHuo uamuzi ni pwagu.
Wenzio hatuweki mafuta na hesabu analeta
Muda upi mkuu? Nakuaga bize sanaLabda itokee uliyemkabidhi awe muaminifu lakini wengi wao ni wasumbufu sana.lakini kama ni mwalimu unaweza kusimamia vyema maana utakuwa na muda mwingi
mimi sio kaka yakoPetrol kaka
Hata nikaweza kuendesha sina Muda sababu nipo kibaruani private secktaKachukue pikipiki sasahivi ni Saa 08:00 Asubuhi, kaanze kujifunza, ikifika mchana ushamliza wewe ni BodaBoda , kilichobaki ni kusubiri siku na wasaa.
Samahan dada yangumimi sio kaka yako
EboooKuna mshenzi ananisumbua wiki hii haiishi namnyang'anya pikipiki yangu
Hata nikaweza kuendesha sina Muda sababu nipo kibaruani private secktaJifunze kuendesha
Kwa vip?Nimelia Sanaa
Oil fulu tenkiKwa vip?
Kwa kiswahili oil sio mafuta?Oil fulu tenki
Lazima upigwe tu vinginevyo endesha mwenyewe na wateja hunaWale wazoefu naomba msaada jinsi ya kuweza kuepuka kuletewa hesabu finyu. Nimewza niwe najaza oil full tank then yy anipe hesabu yote kisha nimlipe mwisho wa mwezi. Naomba ushauri, pia maeneo gani yana kua na wateja wa kutosha ili dogo atege hayo maeneo. Nipo iringa.
Kuna mazingira fulani, unakuta ela umeipata galfa kulinda isipotee unaona ufanye kituUkiingia kwenye biashara lazima uhakikishe unaijua au tayari una ABC zake.
Ndo ivyo mkuu nakwamaLazima upigwe tu vinginevyo endesha mwenyewe na wateja huna
Wale wazoefu naomba msaada jinsi ya kuweza kuepuka kuletewa hesabu finyu. Nimewza niwe najaza oil full tank then yy anipe hesabu yote kisha nimlipe mwisho wa mwezi. Naomba ushauri, pia maeneo gani yana kua na wateja wa kutosha ili dogo atege hayo maeneo. Nipo iringa.