Nimenunua pikipiki sijui kuendesha vip hawa vijana hawatanipiga hesabu za siku?

Nimenunua pikipiki sijui kuendesha vip hawa vijana hawatanipiga hesabu za siku?

Biashara ya pikipiki kama siyo ya mkataba au hufanyi mwenyewe ni biashara kichaa ni kama unahamisha hela mfukoni kwako unaiweka kwa huyo unaempa pikipiki
 
Wale wazoefu naomba msaada jinsi ya kuweza kuepuka kuletewa hesabu finyu. Nimewza niwe najaza oil full tank then yy anipe hesabu yote kisha nimlipe mwisho wa mwezi. Naomba ushauri, pia maeneo gani yana kua na wateja wa kutosha ili dogo atege hayo maeneo. Nipo iringa.
Kiongozi umenichekesha sanaa, sasa oil kujazwa full tank tena?
 
mbona kama wengi wao mnamkata tamaa!,mi nachojua waafrika wengi kwenye usimamizi wa vitu hiwa tupo hovyo! ila hiyohiyo biashara akipewa muindi inaleta kitu!.

mkuu sio lazima kwako kujua kuendesha ila vitu kama services unatakiwa kuvijua,oil inawekwa kwenye engine, petrol ndo kwenye tank.. kubadilisha oil hutegemea na mizunguko pia ila vyema wiki mbili ubadili oil kwa usalama wa engine,mi sio mtaalum sana ila walau nina idea kuhusu pikipiki.
pia angalia barabara rough road huua chombo mapema,so vyema iwe mjini barabara walau za rami na wingi wa wateja pia.. pata kijana mwenye anajua nini anafanya sio anatafuta pesa tu ili afurahie maisha no future huyo hawezi kuwa na uchungu nachombo atakiharibu!. pia ubebaji wa mizigo vyema asibebe mizigo mizito sana kila mara itachokesha mapema chombo,pata mtu msafi mwenye anajali unadhifu na pia ajali unadhifu wa chombo pia,abiria wengi huvitiwa na hivyo vitu haswa wadada ambao ndio wateja wengi zaidi wa usafiri huo.

mengine watamalizia wengine.
 
Mimi ticha kaka kibaruani ndo kumenipa iyo kitu then ni private. Sina Muda. NB usiniaambie niache kazi sitakuelewa
Labda itokee uliyemkabidhi awe muaminifu lakini wengi wao ni wasumbufu sana.lakini kama ni mwalimu unaweza kusimamia vyema maana utakuwa na muda mwingi
 
Back
Top Bottom