mbona kama wengi wao mnamkata tamaa!,mi nachojua waafrika wengi kwenye usimamizi wa vitu hiwa tupo hovyo! ila hiyohiyo biashara akipewa muindi inaleta kitu!.
mkuu sio lazima kwako kujua kuendesha ila vitu kama services unatakiwa kuvijua,oil inawekwa kwenye engine, petrol ndo kwenye tank.. kubadilisha oil hutegemea na mizunguko pia ila vyema wiki mbili ubadili oil kwa usalama wa engine,mi sio mtaalum sana ila walau nina idea kuhusu pikipiki.
pia angalia barabara rough road huua chombo mapema,so vyema iwe mjini barabara walau za rami na wingi wa wateja pia.. pata kijana mwenye anajua nini anafanya sio anatafuta pesa tu ili afurahie maisha no future huyo hawezi kuwa na uchungu nachombo atakiharibu!. pia ubebaji wa mizigo vyema asibebe mizigo mizito sana kila mara itachokesha mapema chombo,pata mtu msafi mwenye anajali unadhifu na pia ajali unadhifu wa chombo pia,abiria wengi huvitiwa na hivyo vitu haswa wadada ambao ndio wateja wengi zaidi wa usafiri huo.
mengine watamalizia wengine.