Nimenunua pikipiki sijui kuendesha vip hawa vijana hawatanipiga hesabu za siku?

Huo uamuzi ni pwagu.
Wenzio hatuweki mafuta na hesabu analeta
 
Shukrani sana mkuu
 
Labda itokee uliyemkabidhi awe muaminifu lakini wengi wao ni wasumbufu sana.lakini kama ni mwalimu unaweza kusimamia vyema maana utakuwa na muda mwingi
Muda upi mkuu? Nakuaga bize sana
 
Lazima upigwe tu vinginevyo endesha mwenyewe na wateja huna
 

Kweli umevurugwa hadi fuel unaita oil...

Sasa sikiliza dogo, kaa chini jifunze biashara ya nduthi kabla hujamkodisha mtu yeyote...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…