NakaziaHata kama huwezi kuendesha ndio ujaze Oil ful tank?
Unatakiwa kujaza Fuel full tank oil unaweka lita moja tu baada ya muda kadhaa kutokana na mizunguko yako...
Kwa piki piki ili usipate tabu
Mpe mtu mkataba kila siku uletewe 10
Nunua na dawa za presha kabisa hapo naenda kuu wa mda si mrefu. Yani we ukae tu mtu akutafutie pesa akuletee na yeye anamahitaji yake na hana pesa. HAIWEZEKANIWale wazoefu naomba msaada jinsi ya kuweza kuepuka kuletewa hesabu finyu. Nimewza niwe najaza oil full tank then yy anipe hesabu yote kisha nimlipe mwisho wa mwezi. Naomba ushauri, pia maeneo gani yana kua na wateja wa kutosha ili dogo atege hayo maeneo. Nipo iringa.
Pikipiki yake?Nunua na dawa za presha kabisa hapo naenda kuu wa mda si mrefu. Yani we ukae tu mtu akutafutie pesa akuletee na yeye anamahitaji yake na hana pesa. HAIWEZEKANI
Nakushukuru mkuu vip ushamalizana nae?Mkuu Mimi ninafanya hii biashara unachotakiwa ni kufunga naye mkataba wa miezi kadhaa ambapo kila wiki isipungue 70,000/=
Mimi kila wiki analipa 75,000/= ambapo kwa mwezi ni Tsh.300,000/=
Mafuta, oil na service nyingine juu yake, akimaliza muda wa mkataba bila shida anachukua Pikipiki.
Kiukweli zinalipa, usikatishwe tamaa pambana!
NB: miezi ya mkataba inategemeana na Bei Yako uliyonunulia ili pesa irudi na Faida upate ya kutosha.
Kuna mwana mmoja kitaa mjivuni sana mtu wa Tambo alikuja na pigo hizo hizo kusema pikipiki anaweza kuendesha lakini watu wanajua hajuiili aje atuvunje viuno barabarani..?
Tatizo wanapokuwa na shida wanakuja mikono nyuma na shingo upande wakishaanza kupata pesa wanakuona kavu hesabu utapata kwa manatiKeshajimix
Madogo wengi wanaofanya hii kazi wana ulimbukeni.
Akianza kushika vihela vya ghafla anajisahau,wanawake aliokuwa anawaota kwenye ndoto atataka awagegede wotee.
Hapo ndo boss utakapoanza kujutaa
1. Mpaka hapo pikipiki yako itakuwa imeharibika (oil full tank badala ya petrol)Wale wazoefu naomba msaada jinsi ya kuweza kuepuka kuletewa hesabu finyu. Nimewza niwe najaza oil full tank then yy anipe hesabu yote kisha nimlipe mwisho wa mwezi. Naomba ushauri, pia maeneo gani yana kua na wateja wa kutosha ili dogo atege hayo maeneo. Nipo iringa.
Bado anaendelea na mkataba wake!Nakushukuru mkuu vip ushamalizana nae?
Hata kama, we jifunze tu kuendeshaHata nikaweza kuendesha sina Muda sababu nipo kibaruani private seckta
Tafuta kijana mpe, biashara ni risk..Hata nikaweza kuendesha sina Muda sababu nipo kibaruani private seckta
🤣🤣🤣Kiongozi umeingia shaka kwenye hiyo biashara, hata petrol hujui unaita oil, hautatoboa kaka, akishakujua haujui kitu umekwisha.
Yaani anajisahau na kuhisi pesa zoote ni zakeT
Tatizo wanapokuwa na shida wanakuja mikono nyuma na shingo upande wakishaanza kupata pesa wanakuona kavu hesabu utapata kwa manati
Vijana wa boda uaminifu ni zero