Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,085
- 9,022
Sema kwenye gari alikuwepo dereva peke yake...ukisema hakukuwa na mtu unamaanisha hata dereva hakuwepo, sasa hilo gari lilijiendesha lenyewe?Jamani ajali haina kinga,
Gari aina ya canter imekuja kugonga chumbani kwangu, baada ya kuferi breki. Inaonekana lilikuwa limepaki sehemu, likajaa wanguwangu mpaka chumbani. Kishindo nilichokisikia kilikuwa kikubwa sana, tena ukitegemea nilikuwa usingizini Mungu mkubwa hakuna aliyeumia, kwenye gari kulikuwa hakuna mtu
Ungekufa hali ya kuwa umefunga si fahari hiyo? kufa Ktk hali nzuri kama wengine wanaokufa wakiwa wanahiji au msikiti wanaswali (joking)Nimefunga swahumu mwezi mzima,yaani nimeshatajitayalisha na kanzu zangu kwa ajili ya kwenda kuswali kesho,ndiyo yametokea haya,kila kitu hupangwa na Mwenyezi Mungu.
Pole sana Mkuu, MUNGU ni mwema.Jamani ajali haina kinga,
Gari aina ya canter imekuja kugonga chumbani kwangu, baada ya kuferi breki. Inaonekana lilikuwa limepaki sehemu, likajaa wanguwangu mpaka chumbani. Kishindo nilichokisikia kilikuwa kikubwa sana, tena ukitegemea nilikuwa usingizini Mungu mkubwa hakuna aliyeumia, kwenye gari kulikuwa hakuna mtu
Pole mkuu, picha usisahau ili tuone hali halisiJamani ajali haina kinga,
Gari aina ya canter imekuja kugonga chumbani kwangu, baada ya kuferi breki. Inaonekana lilikuwa limepaki sehemu, likajaa wanguwangu mpaka chumbani. Kishindo nilichokisikia kilikuwa kikubwa sana, tena ukitegemea nilikuwa usingizini Mungu mkubwa hakuna aliyeumia, kwenye gari kulikuwa hakuna mtu
Kwa nini unamlisha maneno,amesema kulikua hakuna dereva mbona kaeleweka,hiyo gari dereva alisahau kuweka hand break,pia wengine uweka Mawr kabisa kwenye tairi au vigogo,gari lilikua apo kuna kimteremkoSema kwenye gari alikuwepo dereva peke yake...ukisema hakukuwa na mtu unamaanisha hata dereva hakuwepo, sasa hilo gari lilijiendesha lenyewe?
Hivi sikukuu huwa inaliwaje?Pole sana.
Yaani ungekula Sikukuu kwa tabu sana au usingekula kabisa.
Shukran ndiyo jambo pekee muhimu kwa sasa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Watu mnamajibu hatarii sanaBora ungekufa tu, kwenye gari kulikuwa hamna mtu lilijiendesha? Nenda kale kitimoto kesho asubuhi.
mkuu upo so intelligent, unafaa kuliwamilisha taifa letu kwenye upande wakijasusi.... hakuna aliyeumia! mwenzetu una wake wangapi humo chumbani?
Samahani nilikuwa kwenye swala ya Iddy ili kumshukuru Mungu yawezekana leo ningekuwa nazikwa,yaani nimesikia kishindo kikubwa na kuona udongo ukimwagika ndani,sasa nyumba ninayoishi iko kalibu na barabara nikajua gari imegonga nyumba.Sema kwenye gari alikuwepo dereva peke yake...ukisema hakukuwa na mtu unamaanisha hata dereva hakuwepo, sasa hilo gari lilijiendesha lenyewe?
Yaani huwezi kuuamini nilikuwa na bibi mdogo,bibi mkubwa yuko Tanzania,na jana tumenunua mazagazaga yote kwa ajili ya kupika leo,na kanzu yangu nimeitayarisha kwa ajili ya swala ya Iddy,kifo kinafumbo kubwa sana..... hakuna aliyeumia! mwenzetu una wake wangapi humo chumbani?
Gari imekuja peke yeke,kulikukwa hakuna mtu,yaani kosa varanda ya mbele ya unyumba wenda leo ningekuwa maiti,maana ukuta ungenifunikaKesha kuambia lilikuwa limeegeshwa, dereva aliliacha bila kufunga breki ya mkono na huenda kuna mteremko.
Usiku huohuo wameriondoa kwa kuogopa trafiki,nyumba yenyewe nimeipangisha niko huku ugenini kutafuta maishaPole na hongera kwa kupata gari lishakuwa lako hilo🤣
Ungekufa hali ya kuwa umefunga si fahari hiyo? kufa Ktk hali nzuri kama wengine wanaokufa wakiwa wanahiji au msikiti
Yaani acha tu,kifo hakina Hodi,na kanzu yangu nilikuwa nimeianda kwa ajili ya swala ya Iddy,na Alarm nimeweke kwa ajili ya kuniamsha swala ya Alfajiri.Lakini nashukuru nimejihimu msikitini,na kufanya kazi ya kutandika maturubai uwanjani kwa ajili ya swala Iddy,na nimefanya kazi kwelikweli ilikuwa kila nikikumbuka usiku wa ajaliUngekufa hali ya kuwa umefunga si fahari hiyo? kufa Ktk hali nzuri kama wengine wanaokufa wakiwa wanahiji au msikiti wanaswali (joking)
Ahsante,Pole mpendwa