Kigugumiza
JF-Expert Member
- Mar 7, 2022
- 508
- 687
Jamani ajali haina kinga,
Gari aina ya canter Limekuja kugonga chumbani kwangu, baada ya kufeli breki. Inaonekana lilikuwa limepaki sehemu, likajaa wanguwangu mpaka chumbani. Kishindo nilichokisikia kilikuwa kikubwa sana, tena ukitegemea nilikuwa usingizini Mungu mkubwa hakuna aliyeumia, kwenye gari kulikuwa hakuna mtu