Ezra cypher
JF-Expert Member
- Jul 17, 2024
- 244
- 904
Kabla hujaomba hilo ulitakiwa ujue chini ya sheria tulizonazo kwa sasa haziruhusu magereza hayoKatika nyakati hizi ambazo ajira ni changamoto . baadhi ya wawekezaji hatupewi nafasi ya kutosha katika kutimiza ndoto zetu za uwekezaji.
Nimetoa pendekezo kuhusu kujenga magereza binafsi pamoja na mortuary binafsi .
Ila naona feedback ni ndogo Sana .
Magereza binafsi zingekuepo hizi ndo faida zake
Kutoa ajira
Kuweka mazingira bora Kwa mahabusu na wafungwa.
Kuisadia serikali katika kuhudumia wafungwa na mahabusu.
Vile vile mortuary binafsi
Zingetoa ajira
Zingeisadia serikali
Tuna low thinkers wengi katika ufanyaji maamuzi.
Magereza binafsi ni jambo baya sana.Katika nyakati hizi ambazo ajira ni changamoto . baadhi ya wawekezaji hatupewi nafasi ya kutosha katika kutimiza ndoto zetu za uwekezaji.
Nimetoa pendekezo kuhusu kujenga magereza binafsi pamoja na mortuary binafsi .
Ila naona feedback ni ndogo Sana .
Magereza binafsi zingekuepo hizi ndo faida zake
Kutoa ajira
Kuweka mazingira bora Kwa mahabusu na wafungwa.
Kuisadia serikali katika kuhudumia wafungwa na mahabusu.
Vile vile mortuary binafsi
Zingetoa ajira
Zingeisadia serikali
Tuna low thinkers wengi katika ufanyaji maamuzi.
Magereza binafsi ni jambo baya sana.
Mtafanya magereza ni biashara na kuwa na incentive ya kukamata watu muwafunge bila sababu muhimu ili mfanye biashara ya magereza tu.
Hili ni tatizo kubwa sana Marekani tayari.
Siyo najikuta mjuaji sana, ukweli ndio huo.Sawa Ila wewe unajikuta mjuaji Sana
Anaekulipa ni nani? Wafungwa au ?
Nimetoka US last month, ni janga aisee, hawa jamaa wapo radhi mtu aongezewe sentence ili mradi wapige helaMagereza binafsi ni jambo baya sana.
Mtafanya magereza ni biashara na kuwa na incentive ya kukamata watu muwafunge bila sababu muhimu ili mfanye biashara ya magereza tu.
Hili ni tatizo kubwa sana Marekani tayari.
Anzisha danguro, serikali ya CCM inahusudu sana zinaa, itakupa kibali fasta
Ongeza na mahakama na police binafsi.......ungejua theory ya "state" usinge andika hiloKatika nyakati hizi ambazo ajira ni changamoto . baadhi ya wawekezaji hatupewi nafasi ya kutosha katika kutimiza ndoto zetu za uwekezaji.
Nimetoa pendekezo kuhusu kujenga magereza binafsi pamoja na mortuary binafsi .
Ila naona feedback ni ndogo Sana .
Magereza binafsi zingekuepo hizi ndo faida zake
Kutoa ajira
Kuweka mazingira bora Kwa mahabusu na wafungwa.
Kuisadia serikali katika kuhudumia wafungwa na mahabusu.
Vile vile mortuary binafsi
Zingetoa ajira
Zingeisadia serikali
Tuna low thinkers wengi katika ufanyaji maamuzi.
Kwahiyo Magereza binafsi ni swala jipya kwako haujawahi hata kusikia?Ongeza na mahakama na police binafsi.......ungejua theory ya "state" usinge andika hilo
Kwani nimekuambia je mkuu kwamba hayapo au?Kwahiyo Magereza binafsi ni swala jipya kwako haujawahi hata kusikia?
Umetoka marekani last month,sawa! Ni janga kivipi sasa wakati biden alishapiga stop private contractors kuendelea kupewa tenda siku nyingi tu?Nimetoka US last month, ni janga aisee, hawa jamaa wapo radhi mtu aongezewe sentence ili mradi wapige hela