Ezra cypher
JF-Expert Member
- Jul 17, 2024
- 244
- 904
- Thread starter
- #41
Then naona watu wamejikita kuangalia madhara hasi.Sidhani kama kuna magereza binafsi Marekani zinaweza ku lobby kwa majaji wawafunge watu tu kiholela ili wapate wateja
Mimi nililenga endapo MTU amekamatwa na ana uwezo wa kiuchumi au familia yake.
Anaweza kutafutiwa gereza binafsi lenye huduma nzuri na za kisasa .
Ebu fikiria hali ya magereza ilivyo watu wanaishi sehemu chafu .
Endapo tungekuwa na magereza binafsi tungeondoa msongamano gerezani na wale wenye uwezo wakapelekwa magereza binafsi.
Faida ambazo zingepatikana ni nyingi Sana.
Wau weusi ni low thinkers Sana .