Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
SA magereza machache sana ni ya Serikali nilishangaa hata Moda B kusikia ni ya mtu binafsi lile gereza kubwa la Kempton Park..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama shule bnafsi jinsi zilivyopelekea shule za umma kuzorota.Magereza binafsi ni jambo baya sana.
Mtafanya magereza ni biashara na kuwa na incentive ya kukamata watu muwafunge bila sababu muhimu ili mfanye biashara ya magereza tu.
Hili ni tatizo kubwa sana Marekani tayari.
Bongo bado sana aisee, zinaweza zikatungwa sheria za ajabu ajabu ili mradi Magereza yapate watejaSA magereza machache sana ni ya Serikali nilishangaa hata Moda B kusikia ni mtu binafsi lile gereza kubwa la Kempton Park..
Ushanielewa mkuu?Nimetoka US last month, ni janga aisee, hawa jamaa wapo radhi mtu aongezewe sentence ili mradi wapige hela
Kupiga stop hakuondoi madhara yalokwishatokea hapo kabla ambayo kwa sasa waathirika au watu wa karibu wa waathirika watakusimulia, na wengine sentence zao ziliongezwa kimagumashi au kunyimwa parole lakini huko kupiga stop haku-guarantee ku-undo hayo...Umetoka marekani last month,sawa! Ni janga kivipi sasa wakati biden alishapiga stop private contractors kuendelea kupewa tenda siku nyingi tu?
kabisaKama wamekukatalia, nenda ukaanzishe kwenye nchi zinazoruhusu hayo mambo. Huna sababu ya kulalamika! Ok?
mkuu, mtikila alisema watanzania wite wanaishi magerezani, hakuna nyumba isiyokuwa na grili tena imara kuliko za magereza, kuna wamama kimsingi wanaishi gerezani kwa shida wanazopata kwa wenzi waoBongo bado sana aisee, zinaweza zikatungwa sheria za ajabu ajabu ili mradi Magereza yapate wateja
Hakuna sheria inayokata magereza au mortuary binafsi, ni mentallity ya ujamaa tu ndio inatusumbua.Kabla hujaomba hilo ulitakiwa ujue chini ya sheria tulizonazo kwa sasa haziruhusu magereza hayo
Ni kutengeneza mfumo sahihi tu, kwa mfano kutunga kanuni waliokwisha kuhudumia vifungo vya muda mrefu na kubakisha vifungo vya mwaka mmoja tu ndio watahamishwa magereza binafsi.Magereza binafsi ni jambo baya sana.
Mtafanya magereza ni biashara na kuwa na incentive ya kukamata watu muwafunge bila sababu muhimu ili mfanye biashara ya magereza tu.
Hili ni tatizo kubwa sana Marekani tayari.
Mradi wa mwendokasi nani anauzorotesha maana wapo wenyewe bara bara yao abiria wanasubiri bus ambazo hakuna ni udumavu wetu tu wa akili hakuna anaefanya tushindwe..Kama shule bnafsi jinsi zilivyopelekea shule za umma kuzorota.
Nyingi zilizoroteshwa kwa hujuma tu
Serikali na shughuli za wafungwa.Anaekulipa ni nani? Wafungwa au ?
Sidhani kama kuna magereza binafsi Marekani zinaweza ku lobby kwa majaji wawafunge watu tu kiholela ili wapate watejaUshanielewa mkuu?
Watu walioiangalia system ya jela za US na matatizo ya magereza kufanywa biashara wanaweza kuwa na uzoefu mkubwa sana wa kutoa tahadhari kwa nchi nyingine zinazojaribu kuanza mfumo huu.
Huku unaona kabisa kwamba wafungwa wamekuwa biashara kubwa sana, na jela kubwa zikijengwa kukaa bila watu ni hasara, kw ahivyo watatfuta tu watu wajaze jela, wakiwa na makosa au wasipokuwa na makosa.
Watanzania wengi wana mawazo ya kijima kwa sababu bado tupo kwenye matangazo ya Choo ni nyumba..Sidhani kama kuna magereza binafsi Marekani zinaweza ku lobby kwa majaji wawafunge watu tu kiholela ili wapate wateja
Siungi mkono magerza binafusi maana watu watafunga ili magerza yajae wamiliki wapate faida. Ila pia Tanzania hatuna serikali inayo Jari maendeleo ya watu , tuna genge la watu linalo jiita serikali. Kazi ya genge hilo ni kuhakisha hakuna kinacho basilica katika taifa. Maana mabadiliko yoyote ni hatari kwa genge hilo.Katika nyakati hizi ambazo ajira ni changamoto . baadhi ya wawekezaji hatupewi nafasi ya kutosha katika kutimiza ndoto zetu za uwekezaji.
Nimetoa pendekezo kuhusu kujenga magereza binafsi pamoja na mortuary binafsi .
Ila naona feedback ni ndogo Sana . Magereza binafsi zingekuepo hizi ndo faida zake
Kutoa ajira. Kuweka mazingira bora Kwa mahabusu na wafungwa.
Kuisadia serikali katika kuhudumia wafungwa na mahabusu.
Vile vile mortuary binafsi zingetoa ajira, Zingeisadia serikali
Tuna low thinkers wengi katika ufanyaji maamuzi.