Nimenyimwa kibali baada ya kuomba kujenga Magereza binafsi

Magereza binafsi ni jambo baya sana.

Mtafanya magereza ni biashara na kuwa na incentive ya kukamata watu muwafunge bila sababu muhimu ili mfanye biashara ya magereza tu.

Hili ni tatizo kubwa sana Marekani tayari.
Kama shule bnafsi jinsi zilivyopelekea shule za umma kuzorota.
Nyingi zilizoroteshwa kwa hujuma tu
 
Nimetoka US last month, ni janga aisee, hawa jamaa wapo radhi mtu aongezewe sentence ili mradi wapige hela
Ushanielewa mkuu?

Watu walioiangalia system ya jela za US na matatizo ya magereza kufanywa biashara wanaweza kuwa na uzoefu mkubwa sana wa kutoa tahadhari kwa nchi nyingine zinazojaribu kuanza mfumo huu.

Huku unaona kabisa kwamba wafungwa wamekuwa biashara kubwa sana, na jela kubwa zikijengwa kukaa bila watu ni hasara, kw ahivyo watatfuta tu watu wajaze jela, wakiwa na makosa au wasipokuwa na makosa.
 
Umetoka marekani last month,sawa! Ni janga kivipi sasa wakati biden alishapiga stop private contractors kuendelea kupewa tenda siku nyingi tu?
Kupiga stop hakuondoi madhara yalokwishatokea hapo kabla ambayo kwa sasa waathirika au watu wa karibu wa waathirika watakusimulia, na wengine sentence zao ziliongezwa kimagumashi au kunyimwa parole lakini huko kupiga stop haku-guarantee ku-undo hayo...

Mmoja wa wenyeji wangu alikua ni legal secratary, ndio maana nilipata nafasi ya kusikia mikasa kadhaa
 
Dah mkuu uliwaza nn mpk kutaka kufnya hii project ?
 
Fursa ninazoziona zipo ni kuanzisha makaburi binafsi, kiwanda cha majeneza, kikundi cha muziki na Ngoma Cha kuambukiza H..V.
 
Lengo ni kuwatesa kama tulivyorith kwa wakoloni. Sas wewe unaweza usiwatese. Mtu mweusi hajawahi kufikiria kubadili mifumo alioiacha mzungu, mpaka mzungu aseme hata kama ni mzungu mtoto ata aminiwa. Sasa tafuta wazungu kadhaaa wapange waje waishauri serikali. Dili lako litakubaliwa simple
 
Magereza binafsi ni jambo baya sana.

Mtafanya magereza ni biashara na kuwa na incentive ya kukamata watu muwafunge bila sababu muhimu ili mfanye biashara ya magereza tu.

Hili ni tatizo kubwa sana Marekani tayari.
Ni kutengeneza mfumo sahihi tu, kwa mfano kutunga kanuni waliokwisha kuhudumia vifungo vya muda mrefu na kubakisha vifungo vya mwaka mmoja tu ndio watahamishwa magereza binafsi.

Kuna matatizo ambayo ukiyaangalia huko Marekani ni kama cost of progressive societies mfano umiliki wa bunduki na corporations kama za Big pharma n.k
 
Sidhani kama kuna magereza binafsi Marekani zinaweza ku lobby kwa majaji wawafunge watu tu kiholela ili wapate wateja
 
Sidhani kama kuna magereza binafsi Marekani zinaweza ku lobby kwa majaji wawafunge watu tu kiholela ili wapate wateja
Watanzania wengi wana mawazo ya kijima kwa sababu bado tupo kwenye matangazo ya Choo ni nyumba..
 
Siungi mkono magerza binafusi maana watu watafunga ili magerza yajae wamiliki wapate faida. Ila pia Tanzania hatuna serikali inayo Jari maendeleo ya watu , tuna genge la watu linalo jiita serikali. Kazi ya genge hilo ni kuhakisha hakuna kinacho basilica katika taifa. Maana mabadiliko yoyote ni hatari kwa genge hilo.
 
AI Overview


Private prison na facilities to cramate a body.
+1

A private prison, also known as a for-profit prison, is a facility where people are incarcerated by a third party that is contracted by a government agency.
Here are some things to consider about private prisons:
  • Number of people in private prisons: In 2022, 90,873 people were incarcerated in private prisons in the United States, which was 8% of the total state and federal prison population.

  • Impact on mass incarceration: Some say that private prisons contribute to mass incarceration by creating a financial incentive to keep people in prison.

  • Cost: Some say that private prisons may cost more than government-run prisons.

  • Safety: Some say that private prisons are unsafe and have been linked to violence.

  • Government contracts: Some private prison contracts require the government to pay for at least 90% of prison beds, even if they are empty.

  • Lobbying: Some say that private prisons lobby for stricter criminal sentencing laws.

  • Federal Bureau of Prisons: The federal Bureau of Prisons (BOP) has decreased its use of private facilities since 2000.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…