Ezra cypher
JF-Expert Member
- Jul 17, 2024
- 244
- 904
- Thread starter
-
- #41
Then naona watu wamejikita kuangalia madhara hasi.Sidhani kama kuna magereza binafsi Marekani zinaweza ku lobby kwa majaji wawafunge watu tu kiholela ili wapate wateja
Hizi ndo akili za MTU mweusi tenga muda kufikiria kwanza.Siungi mkono magerza binafusi maana watu watafunga ili magerza yajae wamiliki wapate faida. Ila pia Tanzania hatuna serikali inayo Jari maendeleo ya watu , tuna genge la watu linalo jiita serikali. Kazi ya genge hilo ni kuhakisha hakuna kinacho basilica katika taifa. Maana mabadiliko yoyote ni hatari kwa genge hilo.
Wewe ndio una low thinking. Au utueleze kwanza, gereza binafsi utatoaje huduma? Kwamba mfungwa akihukumiwa kifungo, atakfika kwenye gereza lako na atalipia yeye ama serikali?Katika nyakati hizi ambazo ajira ni changamoto . baadhi ya wawekezaji hatupewi nafasi ya kutosha katika kutimiza ndoto zetu za uwekezaji.
Nimetoa pendekezo kuhusu kujenga magereza binafsi pamoja na mortuary binafsi .
Ila naona feedback ni ndogo Sana . Magereza binafsi zingekuepo hizi ndo faida zake
Kutoa ajira. Kuweka mazingira bora Kwa mahabusu na wafungwa.
Kuisadia serikali katika kuhudumia wafungwa na mahabusu.
Vile vile mortuary binafsi zingetoa ajira, Zingeisadia serikali
Tuna low thinkers wengi katika ufanyaji maamuzi.
Sawa Ila nadhani hii hoja imekuzidi upeo.Wewe ndio una low thinking. Au utueleze kwanza, gereza binafsi utatoaje huduma? Kwamba mfungwa akihukumiwa kifungo, atakfika kwenye gereza lako na atalipia yeye ama serikali?
Unafikiri magereza ni biashara?
Ungeomba kibali cha kuanzisha kanisa wala using epitaph tabu. Na check cha Nabii na Mtume au Askofu Mkuu ungepewa hapohapo....Katika nyakati hizi ambazo ajira ni changamoto . baadhi ya wawekezaji hatupewi nafasi ya kutosha katika kutimiza ndoto zetu za uwekezaji.
Nimetoa pendekezo kuhusu kujenga magereza binafsi pamoja na mortuary binafsi .
Ila naona feedback ni ndogo Sana . Magereza binafsi zingekuepo hizi ndo faida zake
Kutoa ajira. Kuweka mazingira bora Kwa mahabusu na wafungwa.
Kuisadia serikali katika kuhudumia wafungwa na mahabusu.
Vile vile mortuary binafsi zingetoa ajira, Zingeisadia serikali
Tuna low thinkers wengi katika ufanyaji maamuzi.
Tuna Matatizo kibao SUGU .Katika nyakati hizi ambazo ajira ni changamoto . baadhi ya wawekezaji hatupewi nafasi ya kutosha katika kutimiza ndoto zetu za uwekezaji.
Nimetoa pendekezo kuhusu kujenga magereza binafsi pamoja na mortuary binafsi .
Ila naona feedback ni ndogo Sana . Magereza binafsi zingekuepo hizi ndo faida zake
Kutoa ajira. Kuweka mazingira bora Kwa mahabusu na wafungwa.
Kuisadia serikali katika kuhudumia wafungwa na mahabusu.
Vile vile mortuary binafsi zingetoa ajira, Zingeisadia serikali
Tuna low thinkers wengi katika ufanyaji maamuzi.
Tuna Matatizo kibao SUGU .
1-UMEME ( Energy)
2-MAJI(WATER)
3-AFYA(HEALTH)
4-BARABARA(ROAD)
Omba kibali ujenge haya ndio vitu vya msingi ,unataka jenga Magereza ya kazi gani.
Watu hawaheshimu mifumo wanavunja utaratibu kuanzia katiba mpaka kula bila kunawa.Ni kutengeneza mfumo sahihi tu, kwa mfano kutunga kanuni waliokwisha kuhudumia vifungo vya muda mrefu na kubakisha vifungo vya mwaka mmoja tu ndio watahamishwa magereza binafsi.
Kuna matatizo ambayo ukiyaangalia huko Marekani ni kama cost of progressive societies mfano umiliki wa bunduki na corporations kama za Big pharma n.k
Mbona sasa kuna watu wengi tu magerezani wanaoishi kama wafungwa wakati hawajawahi hata kuhukumiwa mahakamani?!Siungi mkono magerza binafusi maana watu watafunga ili magerza yajae wamiliki wapate faida. Ila pia Tanzania hatuna serikali inayo Jari maendeleo ya watu , tuna genge la watu linalo jiita serikali. Kazi ya genge hilo ni kuhakisha hakuna kinacho basilica katika taifa. Maana mabadiliko yoyote ni hatari kwa genge hilo.
Si suala la ku lobby majaji, mfumo mzima unakuwa very punitive, mambo yanakaa kimfumo zaidi.Sidhani kama kuna magereza binafsi Marekani zinaweza ku lobby kwa majaji wawafunge watu tu kiholela ili wapate wateja
Kwa hiyo hii mkuu mwenye gereza anafaidikaje maana sidhani kama wafungwa wanaweza kulipia au anakua anapata gawio kutoka serikalini kwa ajili ya kuendesha gereza ?Magereza binafsi ni jambo baya sana.
Mtafanya magereza ni biashara na kuwa na incentive ya kukamata watu muwafunge bila sababu muhimu ili mfanye biashara ya magereza tu.
Hili ni tatizo kubwa sana Marekani tayari.
Uko sahihi sana mkuu tatizo magereza za kibongo nyingi zinachukuliwa kama sehemu ya kuadhibu na kukomoa tu watu na sio sehemu za kurekebisha tabia/ "correction facilities", ndio maana ni vigumu sana kupata story za watu waliotoka katika magereza yetu wakafanya maisha ya maana uraiani.Then naona watu wamejikita kuangalia madhara hasi.
Mimi nililenga endapo MTU amekamatwa na ana uwezo wa kiuchumi au familia yake.
Anaweza kutafutiwa gereza binafsi lenye huduma nzuri na za kisasa .
Ebu fikiria hali ya magereza ilivyo watu wanaishi sehemu chafu .
Endapo tungekuwa na magereza binafsi tungeondoa msongamano gerezani na wale wenye uwezo wakapelekwa magereza binafsi.
Faida ambazo zingepatikana ni nyingi Sana.
Wau weusi ni low thinkers Sana .
Ukichaa huanza hivyohivyo!Katika nyakati hizi ambazo ajira ni changamoto . baadhi ya wawekezaji hatupewi nafasi ya kutosha katika kutimiza ndoto zetu za uwekezaji.
Nimetoa pendekezo kuhusu kujenga magereza binafsi pamoja na mortuary binafsi .
Ila naona feedback ni ndogo Sana . Magereza binafsi zingekuepo hizi ndo faida zake
Kutoa ajira. Kuweka mazingira bora Kwa mahabusu na wafungwa.
Kuisadia serikali katika kuhudumia wafungwa na mahabusu.
Vile vile mortuary binafsi zingetoa ajira, Zingeisadia serikali
Tuna low thinkers wengi katika ufanyaji maamuzi.
Je usalama wa wafungwa katika magereza yetu unaridhisha?Jenga hospitali utaruhusiwa kuwa na hicho ukitakacho. Magereza hio aijakaa vizuri fafanua usalama wa wafungwa utaugharamia vipi
Afadhali mochwari Maana zitasaidia sana , Maana wapo watu Wana uwezo na wanataka huduma nzuri za kuhifadhi wapendwa wao na wapo tayari kulipa.Ww utafaidikaje na majengo hayo. Utaikodishia serikali? Au utaingia ubia na mahakama uwe unazinunua hukum watuhumiwa wakipigwa nyundo unawasogeza kwenye rupango lako? Vipi kuhusu mochwari nayo utafaidikaje... Utakuwa dalali wa viungo unanyofoa unawauzia wadau wake na mshana?
Gereza zima linaendeshwa kibiashara.Kwa hiyo hii mkuu mwenye gereza anafaidikaje maana sidhani kama wafungwa wanaweza kulipia au anakua anapata gawio kutoka serikalini kwa ajili ya kuendesha gereza ?
Ye ni Mtanzania, aende nchi ipi!?Kama wamekukatalia, nenda ukaanzishe kwenye nchi zinazoruhusu hayo mambo. Huna sababu ya kulalamika! Ok?
Wazo lako ni zuri sana maana magereza nyingi ni za zamani sanaKatika nyakati hizi ambazo ajira ni changamoto . baadhi ya wawekezaji hatupewi nafasi ya kutosha katika kutimiza ndoto zetu za uwekezaji.
Nimetoa pendekezo kuhusu kujenga magereza binafsi pamoja na mortuary binafsi .
Ila naona feedback ni ndogo Sana . Magereza binafsi zingekuepo hizi ndo faida zake
Kutoa ajira. Kuweka mazingira bora Kwa mahabusu na wafungwa.
Kuisadia serikali katika kuhudumia wafungwa na mahabusu.
Vile vile mortuary binafsi zingetoa ajira, Zingeisadia serikali
Tuna low thinkers wengi katika ufanyaji maamuzi.
Kwani ukiwa Mtanzania huruhusiwi kwenda kuwekeza kwenye nchi nyingine zenye mazingira mazuri ya kile kitu unachotaka kuwekeza?Ye ni Mtanzania, aende nchi ipi!?
Umepuliza bangiKatika nyakati hizi ambazo ajira ni changamoto . baadhi ya wawekezaji hatupewi nafasi ya kutosha katika kutimiza ndoto zetu za uwekezaji.