Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
Tunaingia tu Kwa sababu mbalimbaliIlikuaje mkaingia kwenye ndoa kama hampendani
Sent from my Infinix X604 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaingia tu Kwa sababu mbalimbaliIlikuaje mkaingia kwenye ndoa kama hampendani
Sent from my Infinix X604 using JamiiForums mobile app
Ukifuatilia nyuzi za huyu dada utagundua kua plug zake hazichomi vizuri kichwani
Barikiwa sanamsaidie mawazo mkuu ili zichome vizuri
You men nadhani ndio wa kumshika Mkono zaidi ili ajifeel kujaliwa / kupendwa/ asifeel loneliness zaidi kuliko sie wanawake kwa wanawake!!Wanawake JF mshikeni mkono mwenzenu huyu anahitaji faraja, uangalizi wa karibu, kuoneshwa upendo wa hali ya juu, kujaliwa.
Nimepitia nyuzi zake hayuko sawa.. Hawa ndio watu hawachelewi kuchukua uamuzi mgumu(Mungu amuepushie mbali ujinga huo)
Duuh! angalia alivyokujibu,umejisikiaje?Ukifuatilia nyuzi za huyu dada utagundua kua plug zake hazichomi vizuri kichwani
sasa na sisi unatusimulia maumivu tujumuike na wewe au? sema nini kimetokea kwanini imekuwa hivyo na imekuwaje umerudi zero au ulikuwa bwege kila kitu mwamme au ndo anafanyaBaada ya kupitia misukosuko mingi kwenye ndoa yangu nimeamua kuja kupumzika nyumbani. Moyo unauma sana mpaka sitamani hata kuinuka kitandani natamani kulala tu, nikilala usiku nikisikia adhana ya saa 11 asubuh moyo unauma nataman kuwe usiku tu tulale tusiamke. Sina namna siwezi kumlazimisha anipende, hanipendi, haoni umuhimu wangu wala hisia na mimi hana.
Kinachoniuma zaidi vitu yangu vyote nimeiacha,, nyumba yangu, biashara yangu nimerudi O ninamtoto mdogo
Sijajua kwa ambao wameshapitia hili walifanyaje wakasahau machungu maisha yakaendelea.
Milembe watamsaidia zaidimsaidie mawazo mkuu ili zichome vizuri
You men nadhani ndio wa kumshika Mkono zaidi ili ajifeel kujaliwa / kupendwa/ asifeel loneliness zaidi kuliko sie wanawake kwa wanawake!!
#Hasiyakechanya#
Daaaaah nikajua Bado ni vijana mnakula ujana kumbe ni wazee kabisa
Mkuu punguza kejeli hata kama humjui aisee..Bila shaka Amefariki kwa UKIMWI, na ww najua unao ndo Maana Mumeo hakutaki
Wazaz wako wakija kusoma andiko hili ajui watajiskiaje.. wamekuzaa.. wamekusomesha had umekua mtu mzima. Gharama nying.. leo hii umeamua kuteseka na mapenz sabab ndo eneo ambalo umeona la muhimu saaaaana kuliko chochote maishan..Baada ya kupitia misukosuko mingi kwenye ndoa yangu nimeamua kuja kupumzika nyumbani. Moyo unauma sana mpaka sitamani hata kuinuka kitandani natamani kulala tu, nikilala usiku nikisikia adhana ya saa 11 asubuh moyo unauma nataman kuwe usiku tu tulale tusiamke. Sina namna siwezi kumlazimisha anipende, hanipendi, haoni umuhimu wangu wala hisia na mimi hana.
Kinachoniuma zaidi vitu yangu vyote nimeiacha,, nyumba yangu, biashara yangu nimerudi O ninamtoto mdogo
Sijajua kwa ambao wameshapitia hili walifanyaje wakasahau machungu maisha yakaendelea.
Men aren't masculine enough and women aren't feminine enough.Baada ya kupitia misukosuko mingi kwenye ndoa yangu nimeamua kuja kupumzika nyumbani. Moyo unauma sana mpaka sitamani hata kuinuka kitandani natamani kulala tu, nikilala usiku nikisikia adhana ya saa 11 asubuh moyo unauma nataman kuwe usiku tu tulale tusiamke. Sina namna siwezi kumlazimisha anipende, hanipendi, haoni umuhimu wangu wala hisia na mimi hana.
Kinachoniuma zaidi vitu yangu vyote nimeiacha,, nyumba yangu, biashara yangu nimerudi O ninamtoto mdogo
Sijajua kwa ambao wameshapitia hili walifanyaje wakasahau machungu maisha yakaendelea.