Nimeoa Bibi wa miaka 60 mimi ni under 30. Je, ni sahihi?

Dogo anazingua..
hahahaha! Nyapu ni nyapu tu wakuu. Katika maisha yangu ukisikia natembea na mtu aliyenizidi umri,basi nikamatwe nifungwe kamba nipelekwe milembe dodoma haraka iwezekanavyo,maana itakuwa si utashi wangu bali ukichaa umeniganda. Vijana wenzangu msivutike na kuingia kingi kutokana na uzi wangu huu,nimeuandika kwa ajiri ya jokes tu.
 
Ungeupeleka jukwaa la jokes huko wangekuelewa mapema.
 
Mpaka ukauliza ni dhahiri umeona umepotea njia, kwani lengo lako ni kwenda wapi
 
Binafsi nimechoka na uwongo wako mara watafuta mke, mara maharii ilikuwa kubwa, Juzi watuma nauli akufuate, mara katoroka kijijini saa hizi upo na bi. Kizee
 
Kumbe una miaka 30 alafu kichwa kibuyu kabisa, umebeba fuvu tupu
 
Usahihi unaujua mwenyewe ndio maana umeoa
 
Binafsi nimechoka na uwongo wako mara watafuta mke, mara maharii ilikuwa kubwa, Juzi watuma nauli akufuate, mara katoroka kijijini saa hizi upo na bi. Kizee
sorry mkuu,story zangu ni za kusadikika na kufikiri tu si za ukweli. Napenda tu kuanzisha mada ijadiliwe hiyo ndy furaha yangu mkuu.
 
Kwa kuwa tunaomba ushauri
Nakushauri uendelee kujitafakari
 
Toka kama ulivyoingia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…