Nimeoa Bibi wa miaka 60 mimi ni under 30. Je, ni sahihi?

Kwa kuwa umeshaoa ni sahihi.
 
Jaribu #kuolewa na mzee wa miaka hiyo hiyo ili ucompee faida na hasara!
 
Upi umeshapatia ila mwambie uoe mke mdogo awazalie basi mengine endelea naye
 
''ananijari na kunipa kila kitu'' Hii ndiyo sifa kuu ya Mishangazi na ndicho ulichofuata kwake!
 
Kama imani yako inakuruhusu owa mke wa pili,kwa ajili ya kukuzalia watoto, vinginevyo utapoteza tu mda wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…