Nimeoa nina miezi miwili lakini naona kero kwa mambo haya

Kumbe ni hivyo...wacha niendelee kugegeda tuu
 
Tatizo ulioa kwa kuangalia mtikisiko wa makalio.
Ukasema mengine utayavumilia. Vumilia sasa, acha kulia lia.
 
Vitu ambavyo mim sipend:-
1.kuulizwa unaenda wapi au uko wap
2.ukimaliza kuongea na sm lazma ujieleze

Hilo la kuoga,hata mim nilpataga shda sana,unalazimishwa kuoga wakat toka asubuh nmeshnda ndani tu,yaan sjatoka hata jasho lakin unaambiwa kuoga
 

Kama hutobadilika then ndoa yako itakuwa jehanum, kama hukumaliza maisha ya kihuni kwa nini ulioa?
 
Duh hapo matatizo utakua nayo wewe
 
Reactions: Auz
Tatizo hupendi kuoga mkuu 😂 ku-solve matatizo yako inabidi uoge, ikiwezekana uwe unalala kwenye bath-tub au beseni kubwa.

Nimegundua hupendi kuoga, kutokuoga ndiyo chanzo cha kuchukia kande; kande zinahitaji mwili mwepesi wakati wa kula, pia ukiwa huogi huwezi kuwa na mazungumzo mazuri, ukioga unaweza kuongea na simu hata lisaa.

Ukiwa unaoga hautaitwa tena maji tayari maana utakuwa unapenda kwahiyo utaweka maji mwenyewe. Ukiwa unaoga hutapata muda wa kuongea na simu karibu na mke wako maana muda mwingi utakuwa bafuni hivyo hutaulizwa maswali na utakuwa ukitoka kuoga muda ni wa kujiandaa na kutoka.

OGA MKUU! 😂
 
Kwani umelazimishwa kuoa? Kama hukua tayari ungeendelea kuishi kigeto geto, hata kuwekewa maji ya kuoga nayo kero, watoto wa mama nyie, rudi kwa mama yako
 
Tatizo la kuingia kwenye ndoa huku akili ikiwa bado haijapevuka sioni tatizo hapo.Hapo mna ya maliza kwa kuongea.
 
Vitu ambavyo mim sipend:-
1.kuulizwa unaenda wapi au uko wap
2.ukimaliza kuongea na sm lazma ujieleze

Hilo la kuoga,hata mim nilpataga shda sana,unalazimishwa kuoga wakat toka asubuh nmeshnda ndani tu,yaan sjatoka hata jasho lakin unaambiwa kuoga
Kuoga lazima, hii huwapa shida sana wanaume wanapo oa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naona ume Forgotten kumwita Unforgetable

nmecheka kinyama mwanangu yan unavosifia huko kuoga kama kweli vileeeee
 
si uliwahi matako yan wowowo ,haya sasa unamiez miwil 😅😅😅 umeingia kingi apo
 
Moja ya wanaume wasio na sifa ya kuoa ni wewe.
Nimpe pole mkeo, ukianza kuchepuka atapata tabu sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…