Nimeolewa ama nimeoa? Naombeni ushauri

Nimeolewa ama nimeoa? Naombeni ushauri

Afuate Utaratibu,,Amuache aende Kwa Huyo Atakaye Timiza Kikamifu Hicho Akitakacho Na Si Kuja Kumdhalilisha Humu,,Mbona Kipindi Yuko Vizuri Hakuja Msifia Humu?
Kwan unamjua huyo Mumewe? Sote humu hatumjui yeye Wala familia yake .

Kwahiyo ni Mahali sahihi pakutafutia Ushauri .

Hamjasema anamuacha aende Kwa mwanaume mwingine, hata hivo ni mwanamke Kuachana naye hakumzui yeye kutoka kwenye Mahusiano mapya.
 
unamkatia tamaa mwanaume?...muache halafu uone atakavyokushangaza..
 
Kwan unamjua huyo Mumewe? Sote humu hatumjui yeye Wala familia yake .

Kwahiyo ni Mahali sahihi pakutafutia Ushauri .

Hamjasema anamuacha aende Kwa mwanaume mwingine, hata hivo ni mwanamke Kuachana naye hakumzui yeye kutoka kwenye Mahusiano mapya.

Kwan unamjua huyo Mumewe? Sote humu hatumjui yeye Wala familia yake .

Kwahiyo ni Mahali sahihi pakutafutia Ushauri .

Hamjasema anamuacha aende Kwa mwanaume mwingine, hata hivo ni mwanamke Kuachana naye hakumzui yeye kutoka kwenye Mahusiano mapya.
Kwani Wewe Unamjua Huyo Mwanamke??Hatuwezi Toa Ushauri Kwa Kesi Ya Kusikiliza Upande Mmoja.
 
mume wa dada yangu alikumbana na issue ya vyeti feki... alikuwa Daktari..akaachishwa.

jamaa alipitia wakati mgumu sana.. dada yangu akaanza kupaniki na kuleta issue za kijinga kama hizi unazoleta wewe mleta mada...alimkatia tamaa kabisa,jamaa alitekeseka kama miaka 4.
siku moja nikawatembelea.. nikabaini shemeji yangu licha ya kupata upendo kwa mkewe lakini amekosa FAraja, hawaki pamoja hawasali pamoja .. waongei..
usiku baada ya chakula nikawakalisha,, tukaanza kuongea pale baada ya maongezi tukasali.. ilibidi niongeze siku za kukaa pale ili tufunge pamoja na kusali.... ilikuwa ni maombi tu .
sku yamwish ya maombi dada yangu akakonfesi akasema alikuwa ameshanunua kiwanja na kuanza ujenzi kimya kimya, alimuombe mume wake mabaya na hakuwa na hamu nae kabisa..
mwisho wa siku baada ya mwezi mmoja jamaa akaitwa hospitali binafsi akaanza azi.. kisha akapata shirika flan liko chini ya wamarekani akapiga kazi.. mambo yakanyooka..na yakanyooka tena..
siku siniyoitarajia nikapigiwa simu na kuombwa akaunt namba.. nilipompa akanitumia dola 2000 mambo yamenyooka kwa sasa..
kwa hiyo wewe mleta mada muombee mumeo... maandiko yanasema tazama Mungu ameumba jambo jipya duniani, mwanamke atamlinda mwanaume...
 
Ebo Kutoa vijihela tu miezi miwili kumlisha mwamba maneno meengi
 
Ni bahati mbaya hii stori haina ukweli ila kuna watu wa namna hii wanapitia haya kweli.

Hii ndio kusema binadamu wote tuna udhaifu wa ubinfsi lakini binadamu wa kike ubinafsi wake ume advance zaidi .
Mwanaume anaweza kukaa na mwanamke asie na kazi waka kipato chochote maisha yake yote bila shida yoyote na uaminifu mkubwa ila kwa mwanamke ni kinyume chake kabisa

Hii inazidi kutia nguvu hoja ya kukataa ndoa au mahusiano, maana kwa mwanaume mahusiano baina ya mwanamke kwake si kitu kinacho mpa manufaa zadi sana kinakuwa sababu ya kumkosesha furaha na amani na kwa ujumla wake mwanaume akiisha ingia kwenye mahusiano ni sawa na kuingia kwa ile inayo itwa jehanamu.
Kwanini unasema haina ukweli?hakuna hata kimoja nilichodanganya napitia hiyo situation kwann watu mnakuwa wabinafsi hvyo? Mbaba msomi,ana nguvu,afya nzuri tu mnaona sawa ni sawa tu asifanye kazi?sijui hata cha kusema tena.
 
duh noma aise.
1.Ww ni mtu pekee wa kumuriwadha mwenzio coz hayuko mentally fit.

2.Kaeni kifamilia,pande zote mbilii then mtapata mwafaka.

3.Hujui nn maana ya ndoa,ndoa maana ake shida na raha ni kuvumiliana.

4.Huyo mshikaji uli mpenda coz ana kazi,hai ingii akilini kuwa umuache mmeo kisa hana kazi.

5.Maamuzi uliyo fanya ni unyanyasaji wa kijinsia inatakiwa umuhudumie mmeo pia utapata baraka zaidi.

6.Ina onesha utakua una achana na kila mwanaume akiwa amekosa kipato.

7.Ukiachana na mmeo watoto utakuwa umewaweka ktk mazingira magumu ata kama una wapatia huduma zote,watoto inatakiwa malezi ya wazazi wawili ili wawe na afya nzuri ya mentally na kimwili.

9.Nakushari mmeo usimuache endelea kumuheshimu,kumudhamin na kumu ombea kwa Mungu ampe wepesi ,hiyo changamoto ndo majaribu ya familia yenu ambayo ni mafanikio ya baadae.
Pia dhamani yako itakuwa haipo ata kama ukimpata mwanaume mwingine
kwa hiyo ww endelea kumpenda mmeo kwa hali iyo anayopitia coz ndo baraka zako.
 
mume wa dada yangu alikumbana na issue ya vyeti feki... alikuwa Daktari..akaachishwa.

jamaa alipitia wakati mgumu sana.. dada yangu akaanza kupaniki na kuleta issue za kijinga kama hizi unazoleta wewe mleta mada...alimkatia tamaa kabisa,jamaa alitekeseka kama miaka 4.
siku moja nikawatembelea.. nikabaini shemeji yangu licha ya kupata upendo kwa mkewe lakini amekosa FAraja, hawaki pamoja hawasali pamoja .. waongei..
usiku baada ya chakula nikawakalisha,, tukaanza kuongea pale baada ya maongezi tukasali.. ilibidi niongeze siku za kukaa pale ili tufunge pamoja na kusali.... ilikuwa ni maombi tu .
sku yamwish ya maombi dada yangu akakonfesi akasema alikuwa ameshanunua kiwanja na kuanza ujenzi kimya kimya, alimuombe mume wake mabaya na hakuwa na hamu nae kabisa..
mwisho wa siku baada ya mwezi mmoja jamaa akaitwa hospitali binafsi akaanza azi.. kisha akapata shirika flan liko chini ya wamarekani akapiga kazi.. mambo yakanyooka..na yakanyooka tena..
siku siniyoitarajia nikapigiwa simu na kuombwa akaunt namba.. nilipompa akanitumia dola 2000 mambo yamenyooka kwa sasa..
kwa hiyo wewe mleta mada muombee mumeo... maandiko yanasema tazama Mungu ameumba jambo jipya duniani, mwanamke atamlinda mwanaume...
Kazi anapata anaenda kama wiki mbili hivi anaacha mwisho wanamtimua na ni jeuri sana hataki hata kuelekezwa huko kazini anataka afanye anachotaka yeye.hadi anapigana.
 
Habarini jamvini?

Naombeni ushauri ndugu zangu mimi ni mwanamke sijui kama nimeolewa ama nimeoa huyu mwanaume yapata miaka 8 sasa toka ameachishwa kazi yupo tu nyumbani hataki kufanya kazi yoyote,akipata kibarua anaenda kama wiki hivi anaacha.

Biashara ndogondogo hataki kufanya kabisa,mzigo wote unaniangukia mimi kila kitu ni mimi,chakula,ada,bills zote ni mimi yeye yupo tu anashinda nyumbani kulala na kijiweni na ni msomi tu mzuri, sasa nimechoka nataka kudai talaka bora ijulikane sijaolewa kuliko haya nnayoptia kama vile mimi ndo nimeoa,

Before talaka nimechukua uamuzi ufuatao,ni mwaka sasa nimemhama chumba,nimeacha mfulia wala kujihusisha na chochote kimhusucho nimemwondoa house girl simwachii chakula cha asubuh wala mchana,anavizia cha usiku na weekends ndo anakula.

Hana pressure kabisaaa ameridhika sasa nataka nianze mchakato wa talaka mapema nitue huu mzigo nioge nirudi sokoni kwa tahadhari ya hali ya juu.

Naombeni ushauri.
Wanawake mna masengenyo sana
 
Japo ni mama,dada,watoto zetu lakini Wanawake ni chanzo cha matatizo mengi hapa duniani..wamejawa na evil spirit.
Mimi nishaanza kuwaelewa wanaume wanaojitenga nao.
 
duh noma aise.
1.Ww ni mtu pekee wa kumuriwadha mwenzio coz hayuko mentally fit.

2.Kaeni kifamilia,pande zote mbilii then mtapata mwafaka.

3.Hujui nn maana ya ndoa,ndoa maana ake shida na raha ni kuvumiliana.

4.Huyo mshikaji uli mpenda coz ana kazi,hai ingii akilini kuwa umuache mmeo kisa hana kazi.

5.Maamuzi uliyo fanya ni unyanyasaji wa kijinsia inatakiwa umuhudumie mmeo pia utapata baraka zaidi.

6.Ina onesha utakua una achana na kila mwanaume akiwa amekosa kipato.

7.Ukiachana na mmeo watoto utakuwa umewaweka ktk mazingira magumu ata kama una wapatia huduma zote,watoto inatakiwa malezi ya wazazi wawili ili wawe na afya nzuri ya mentally na kimwili.

9.Nakushari mmeo usimuache endelea kumuheshimu,kumudhamin na kumu ombea kwa Mungu ampe wepesi ,hiyo changamoto ndo majaribu ya familia yenu ambayo ni mafanikio ya baadae.
Pia dhamani yako itakuwa haipo ata kama ukimpata mwanaume mwingine
kwa hiyo ww endelea kumpenda mmeo kwa hali iyo anayopitia coz ndo baraka zako.
Asante kwa ushauri mzuri,ntayafanyia kazi Mungu anisaidie.
 
Jinsi wewe unavyojisikia hivyo leo ndivyo wanaume tunajisikiaga vivyo hivyo kila siku; kuanzia tunaanza mahusiano mpaka tunapokufa.
Kabla hujapata talaka jaribu kuchunguza, huena hiyo ndo njia anayotumia kukuacha. Pengine wewe ndio kero kwake kuzidi yeye alivyokero kwako.
Yazingatie haya. Usikurupuke. Siunaona vijana wanavyowkataa single mother humu?
 
I stand for the DEFENCE of our fellow man

Je, haukuwahi kumchezesha michezo ya kupeleka nywele zake kwa fundi?
Hujawahi kumtajia fundi jina la mama yake?
Je, umewahi kukaa naye mkashauriana kama familia au ndo ile mwanamke akishakuwa na financial muscles basi anaweza hata kulinda sungusungu?
Siujui ushirikina kabisa,najishusha sana tuzungumze lakini hataki ananyanyuka anaondoka,jibu lake huwa kama naona hana kazi niende kwa wanaume wenye kazi.baada ya ushauri humu ndani itabidi niende kwa kiongozi wetu wa dini amwite tusikilizwe kwa pamoja.
 
Huyo anahitaji mentorship shirikiana na ndugu zake wa karbu,

Ungekuw wew umeach kaz ungeish kwa aman tuu
Ni mkorofi hakuna ndugu yake hata mmoja anamsogelea ni mtu wa vita muda wote.
 
nataka nianze mchakato wa talaka mapema nitue huu mzigo nioge nirudi sokoni kwa tahadhari ya hali ya juu.

Naombeni ushauri.

Kabla ya kurudi sokoni kwa tahadhari, nenda kwanza ukufanye service maeneo yafuatayo

Titi kama limelala piga jeki (spring jack recommended)
Engine ifanyie overhaul ikiwezekana badilisha mswaki
 
Back
Top Bottom