Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtarajiwa
Niko poa mtarajiwa!Mambo mtarajiwa
Leo nilikuwa nakufikiria hadi nikaanza kupitia zile convo zetu
NAKAZIA :0aliyemuelewa anieleweshe mi nalala jomoni usikumwema
Mimi pia ujue.
#tunawazana
Nyumbani unakuja lini
Nakusubiria;Kwani umesharudi?
Kama umerudi na utakuwepo nitakuja jumapili ijayo
Nani?
Kumbe ndio maana mmh! Mwarabu kadataManzi wa Tz ni wazuri na wengi wana chura bora nibaki huku huku niwaze hewa
Nimefanyaje??Tatizo ni wewe.
Ehe naukasoma nizamaniJuni 3 umeweka uzi wa kukuta kondom kwa mchumba Leo hii unae mume!
Sina hiyo kitu UMBEYA mi nalea so kama nalea ndio nimekosea kuandika huu uzi maana kababy kanasumbua .Matatizo ya kuandika uzi huku mnapiga story unakoswa hata namna ya kupangilia chai yako.
Karibu tena Tz katoto kazuriKumbe ndio maana mmh! Mwarabu kadata
Wewee kutulia ni ile siku huna pumzii wewe ni msichana damu inachemka nikitaka atagongewa tu penda,asipende ila shida ni mmoja mi MKE WA MTU namsimamo mme wangu ananijali ananipenda mikasi anajua vizuri sina haja ya kuliwa liwa ovyo hapa na changamsha genge mapenzi yapo na akifa kwa uzee basi navaa chupi ya chuma.Kashindwa kutulia na babu yake unampa kazi ya kutulia tena?
AsanteeKaribu tena Tz katoto kazuri