Nimeombwa hela na mwanafunzi

sharing is caring... Mkuu umeokoa roho nyingi zitakazokuja kukutana na maswahibu kama yako...

Siku nyingine akikuomba hela mpe. Ungemnyima angepaza sauti kuu na kusema 'ananibaka'. Saivi ungebaki na huu uzi kichwani mwako huku umeuvalia nguo za rangi ya machungwa.

Btw, hakurudisha change?...

Kama karudisha usiwaze, kama hakurudisha endelea kuwaza jela.
 
ahsante sn mkuu

hajarudisha change na hata siwazi kwa sababu nilimwambia achukue yote kwa maana nilihisi pengine ana shida zingine ila aliogopa tu kuutua mzigo wote!
 
6 × 5 =
 
anaitisha press conference kabisa Al Jazeera [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Huo ni uzinzi wako tu tatizo liko wapi
Hizooo ni nyege mawenge[emoji23][emoji23][emoji23]
 
walezi (baba ni marehemu, mama yupo mbali) wapo kama km 4 hivi. umbali wa shule na mimi ni kama m200 tu. police post km 4, mkoa wa lindi
Usiwe na khofu, then jenga imani tu kama umemsaidia nduguyo usiwe na mawazo machafu juu yake na wala usije ukaingiwa na tamaa za kijinga.
 
Wazee dunia imekwisha hela yenyewe 2000 unavoiwaza sasa utazani umepoteza M ukawaza mpaka na mgegedo .......
 
JELA JELA JELA JELA JELA,huwa najiuliza tu hivi jela hazijai?
 
Mkuu hiyo ni changamoto kubwa,kaa mbali sana na hao viumbe,wapuuzie wakikusogelea ikiwezekana jenga fence kubwa hapo kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…