Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
[emoji23][emoji2][emoji2]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji2][emoji2]
ahsante sn mkuusharing is caring... Mkuu umeokoa roho nyingi zitakazokuja kukutana na maswahibu kama yako...
Siku nyingine akikuomba hela mpe. Ungemnyima angepaza sauti kuu na kusema 'ananibaka'. Saivi ungebaki na huu uzi kichwani mwako huku umeuvalia nguo za rangi ya machungwa.
Btw, hakurudisha change?...
Kama karudisha usiwaze, kama hakurudisha endelea kuwaza jela.
anaitisha press conference kabisa Al Jazeera [emoji23][emoji23]Umeombwa Mia 5 umepandisha uzi jf, we ukiombwa laki unaenda cnn kutangaza
Habarini!
Kuna jambo limenitokea, linanipa maswali na mshangao kiasi.
Ninakaa jirani na shule, jirani sana tu. Ni mtu mzima mimi.......35 yrs. Kwa sasa shule nyingi zipo ktk makambi kwa vidato vya 2 na 4, hii ni mojawapo pia.
Jioni ya leo, nikiwa sina hili wala lile nimepumzika tu nasikia hodi ikigongwa. Nilipomruhusu aingie bs alikuwa n mwanafunzi flan wa kidato cha pili aliamkia na kisha akaniomba tshs 500/=. Nilipigwa na bumbuazi kupita maelezo lkn nikajifanya sina nilichokishangaa. Nikamuuliza unataka kununua nn akajibu anataka kununua samaki alie ugali (akilini nilitegemea nisikie peni au daftari). Nikampa tshs. 2000/=. Aliipokea haraka, akashukuru kisha huyo haraka akaondoka.
Bandugu, tangu muda huo nimetafakari mara kutafakari ujasiri wa huyo binti bado sijapata majibu mpaka nimemua nifanye sharing nanyi kisa hiki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]anaitisha press conference kabisa Al Jazeera [emoji23][emoji23]
Hata sina tatizo.....hofu tu kwa wasichana wetu hawa maana haijulikani kesho atamuomba nani? Una bint mkuu?
Katika ulimwengu wa roho namuona kijana mmoja wa jf akiwa amevaa sare za magereza.
Bro ni mtoto wa kike aliye form 2.
Kifungo kinakuita kaka
Habarini!
Kuna jambo limenitokea, linanipa maswali na mshangao kiasi.
Ninakaa jirani na shule, jirani sana tu. Ni mtu mzima mimi.......35 yrs. Kwa sasa shule nyingi zipo ktk makambi kwa vidato vya 2 na 4, hii ni mojawapo pia.
Jioni ya leo, nikiwa sina hili wala lile nimepumzika tu nasikia hodi ikigongwa. Nilipomruhusu aingie bs alikuwa n mwanafunzi flan wa kidato cha pili aliamkia na kisha akaniomba tshs 500/=. Nilipigwa na bumbuazi kupita maelezo lkn nikajifanya sina nilichokishangaa. Nikamuuliza unataka kununua nn akajibu anataka kununua samaki alie ugali (akilini nilitegemea nisikie peni au daftari). Nikampa tshs. 2000/=. Aliipokea haraka, akashukuru kisha huyo haraka akaondoka.
Bandugu, tangu muda huo nimetafakari mara kutafakari ujasiri wa huyo binti bado sijapata majibu mpaka nimemua nifanye sharing nanyi kisa hiki.
Usiwe na khofu, then jenga imani tu kama umemsaidia nduguyo usiwe na mawazo machafu juu yake na wala usije ukaingiwa na tamaa za kijinga.walezi (baba ni marehemu, mama yupo mbali) wapo kama km 4 hivi. umbali wa shule na mimi ni kama m200 tu. police post km 4, mkoa wa lindi
JELA JELA JELA JELA JELA,huwa najiuliza tu hivi jela hazijai?Habarini!
Kuna jambo limenitokea, linanipa maswali na mshangao kiasi.
Ninakaa jirani na shule, jirani sana tu. Ni mtu mzima mimi.......35 yrs. Kwa sasa shule nyingi zipo ktk makambi kwa vidato vya 2 na 4, hii ni mojawapo pia.
Jioni ya leo, nikiwa sina hili wala lile nimepumzika tu nasikia hodi ikigongwa. Nilipomruhusu aingie bs alikuwa n mwanafunzi flan wa kidato cha pili aliamkia na kisha akaniomba tshs 500/=. Nilipigwa na bumbuazi kupita maelezo lkn nikajifanya sina nilichokishangaa. Nikamuuliza unataka kununua nn akajibu anataka kununua samaki alie ugali (akilini nilitegemea nisikie peni au daftari). Nikampa tshs. 2000/=. Aliipokea haraka, akashukuru kisha huyo haraka akaondoka.
Bandugu, tangu muda huo nimetafakari mara kutafakari ujasiri wa huyo binti bado sijapata majibu mpaka nimemua nifanye sharing nanyi kisa hiki.
Nimejaribu kujieleza.....itakuwa haujanielewa!Wazee dunia imekwisha hela yenyewe 2000 unavoiwaza sasa utazani umepoteza M ukawaza mpaka na mgegedo .......
anajuaje kama anaishi mwanaume tu emu acha ujingaMtoto wa kike form 2 anagonga kuingia ndani kuomba 500?
Tena ni nyumba anayojua yuko mwanaume tu.