Nimeombwa hela ya kusukia

Wajinga ndio waliwao!!!

Hilo garasa ndg yangu.
 
Hahaa nikuulize hivi asingekuomba hela wee si ungeanza kuomba ishu[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Na yeye kaaona akuwahi kabla wewe hujamuwahi!!!
Basi akubali "nipe nikupe" yani papo kwa papo huku anamguu pande na mimi nazama mfukoni kimachalemachale
 
Wajinga ndio waliwao!!!

Hilo garasa ndg yangu.
Ama kweli mkuu,halafu nimemwambia jmosi twende nae dar anadai eti dar amekuchoka!ana maana gani huyu??wacha nimpeleleze
 
Weka jina na namba yake hadharani mkuu
 
Mgegedo badae
Huo uonevu sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…