Nimeombwa hela ya kusukia

Nimeombwa hela ya kusukia

Wajinga ndio waliwao!!!

Hilo garasa ndg yangu.
 
Hahaa nikuulize hivi asingekuomba hela wee si ungeanza kuomba ishu[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Na yeye kaaona akuwahi kabla wewe hujamuwahi!!!
Basi akubali "nipe nikupe" yani papo kwa papo huku anamguu pande na mimi nazama mfukoni kimachalemachale
 
mkuu mwambie aibu aliyonayo kwenye kukubali kutongozwa aitumie hiyo hiyo aibu kwenye kuomba omba fedha, kuanzia sasa asione aibu kuitikia ombi LA kutongozwa na awekeze nguvu kwenye kuijenga aibu ya kuomba omba ela, maana ilivyongu ni bora awekeze nguvu hizo za kuomba kwenye kutafuta,maana mimi hapa kuna MTU nilimpa Nazi hakuifanya namdai ananizungusha hapokei simu kwa uchungu na hasira nikajikuta nimetukana na sasa kasema amenishtaki kwa cyber crime uchungu juu ya uchungu yote sababu ya pesa so nikisikia mtu anaomba ela ananiongeza hasira tu
Weka jina na namba yake hadharani mkuu
 
Mgegedo badae
Huo uonevu sasa!

Back
Top Bottom