Nimeombwa hela ya kusukia

Nimeombwa hela ya kusukia

nani ataoa demu anayepiga simu mara 67kuomba hela ya saloon wakati mmekutana jana ,nyie ndio mnamsumbua Mungu kuwa mnatafuta wacgumba kumbe hamjui mnawakimbiza wenyewe huo ni umalaya
baelezee...mkuu
 
na ndoman kuna makundi mengi,km unaona umalaya katafute malaika,umalaya,umalaya kwan kipi cha ajabu kuombwa ela au,na je huyo angetak sex je asingo kuwa malaya au una hamu ya kusema,
tatizo sio kuomba hela,tatizo ni kuomba ndani ya muda mfupi kiasi kile....si ndo umalaya wenyewe?
 
Elfu30 ni nini! Elfu30 ni hela nayo!? Wanaume wanaisha wanabaki wavulana tu Kazi kulalamika siku nzima. Uanaume ni majukumu na kumtunza mwenza wako ni moja ya majukumu ya mwanaume kamili au unataka utunzwe wewe angalia usije chumbiwa.
sasa huyu ni mwenza wangu??
 
Bwana wewe km mkono wako ni wa birika itabid utafute saizi yako,maan hapa tutakesha,ndio njaa unategemea hiyo nguvu ataipata wapi bila kushiba?
hata uwe na mkono wa sweta,elfu 30 ndani ya masaa mawili??
 
nguvu ya nini hata mzigo sijala unaataka nini,subiri nile mzigokata viuno huna haajaa ya kuniomba nitakupa mwenyewe au hata ukiomba sawa kalakini hata sura sijaikariri eti naomba elfu 30 njaa mbaya dadazetu mtakufa cha mtu mavi
baambie
 
Kama hata elfu30 bado inakupiga chenga ni bora ukawekeza nguvu na muda zaidi kwenye kujenga maisha yako badala ya kusumbua watoto wa watu. Itakuwa hata nauli ya bus ulilipiwa wewe, chunga tu usije chumbiwa wewe
sasa unakoelekea unanitafutia ban humu..
 
kwani umeumia au?alafu wew mtoto wa kiume jikaze,maan unaonekan uswahili.mwingi unao,alafu.mimi mtoto wa kike nisije kukuweka kati,we km umeumia potezea acha wenye pesa wajilie mwenye kisu kikali ndo mla nyama,km una ela tafut sahiv yak atakayekupa bure,
daaah....wanawake wa dar!!!
 
Daaah wanawake sijui wamekuwaje iseeeee .......siku hizi..unachokisema hata Mimi kimenikuta Jana kuamkia na amount ni hiyohiyo balaaaa iseeeee
 
Back
Top Bottom