Nimeombwa hela ya kusukia

Nimeombwa hela ya kusukia

Hahahaha wewe hupendi pesa?
halafu nnachofurahi sasa hivi akina dada humu jf mnaweka avatar za picha zenu...wekeni na namba za simu basi.......mimi pesa napenda na ndomana naitafuta kwa hasira halafu anakuja mtu anazihitaji ghafla ghafla tuu?kweli?
 
Daaah wanawake sijui wamekuwaje iseeeee .......siku hizi..unachokisema hata Mimi kimenikuta Jana kuamkia na amount ni hiyohiyo balaaaa iseeeee
kuna mkuu kahoji humu kama hii amount imewekwa kisheria...pengine hatuna taarifa
 
Back
Top Bottom