Nimeombwa rushwa ya ngono kwenye ofisi X

Sasa ndugu toa taarifa TAKUKURU hata kama niile ofisi ya nyasi kavu umekutana na huo ufisadi, kwani hao hao ndio walezi wa mambo hovyo na waharibifu wa taifa letuπŸ˜”
 
ndio tatizo la wanaume wanaojipodoa, kila siku kupakaa lotion....mnakuwa kama taifa zima limejaa akina mama πŸ™ , sie hatutaniwi namna hiyo halooo
 
Kwa mtindo huu,watu eti wanahitaji maendeleo. Mtu na umri alonao,anaona akijisingizia kitu atakuwa amewin. Hata kama ni kahaba,hata kama inawaka moto, we kitu gani mwanamke akuangalie hapo hapo na akwambie anakutaka? Ungesema kwenye kirabu cha pombe za kienyeji binafsi ningekuelea na nisingekukatalia. Pamoja na mapungufu yao,kudhalilishwa kiasi hicho si busara.
 
Chai..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…