[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndio tatizo la wanaume wanaojipodoa, kila siku kupakaa lotion....mnakuwa kama taifa zima limejaa akina mama π , sie hatutaniwi namna hiyo halooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ama hakika angekuwepo mwanaume ri jali asingechomoa ila mie ndiyo hivyo tena?
Kwa hiyo unataka ajiungashie umeme kinyemela bila ya kuwaogopa tanesco? Nyumba ikiungua je?Hakika unaupungufu wa nguvu za kiume full stop
π³π³π³π³ kuna walakini kwenye urijali wako?Ama hakika angekuwepo mwanaume rijali asingemchomoa ila mie ndiyo hivyo tena
Kweli Wazee tunapigwa vita πTulieni nyumbani wazee
Chezeni na wajukuuKweli Wazee tunapigwa vita π
Yaani siku hizi hata wanawake hawaoni aibu? Kweli hii dunia inaenda less sana aisee zama za zamani kusikia mwanamke ameomba rushwa ya ngono unaona kitu cha ajabu sana ila si sasa aisee inashangaza na inahuzunisha sana
Leo nimeenda ofisi X kupata huduma fulani nikamkuta mwanamke mmoja mzuri na anavutia sana. Ama hakika angekuwepo mwanaume rijali asingemchomoa ila mie ndiyo hivyo tena akawa ananizungusha sana ila baadae baada ya mimi kuwa mkali akanichana ya kwamba ananitaka kimapenzi.
Kwamba nikamuwashe dude au nimpige papuchi ndipo hitaji langu litaenda kasi ila bwana nikamkazia nikasema siwezi kufanya huo ujinga kabisa kwasababu ni kosa kutoa na kupokea rushwa full stop
π πChezeni na wajukuu
au chezeni na jua, likihama nanyi mnaama nalo ππ π
Kweli Wazee tumechokwa, ni vile hatuna jinsiπau chezeni na jua, likihama nanyi mnaama nalo π
πππππ Naunga mkono maana sio kwa kulalamika huku huyu jamaaina mana alitaka kukulawiti
Hamjachokwa ila ndio majukumu yenu hayo kama hamtaki kucheza na wajukuu.Kweli Wazee tumechokwa, ni vile hatuna jinsiπ
Ngoja tujipe moyo tu π€Hamjachokwa ila ndio majukumu yenu hayo kama hamtaki kucheza na wajukuu.
Nami nitafika hukoNgoja tujipe moyo tu π€
All is good.....all is good π
Ndiyo muanze kujifunza kuchota busara zetu Wazee πNami nitafika huko
Busara nnazo tayari bado tu huo uzee. Shikamoo mzeeNdiyo muanze kujifunza kuchota busara zetu Wazee π