Nimeombwa rushwa ya ngono kwenye ofisi X

 
acha uongo
 
Sasa dushe ni kitu ya kumnyima mtu kweli?
Sasa atampaje wakati kasema yeye ndiyo hivyo nguvu zimekata ...wengine wana kisukari toka wakiwa watoto ..siyo wote wazima wa afya
 
Mkuu kwani wewe ni Mchicha Mwiba?
 
Sasa si ungeanza na hadithi hadithi uongo njoo utam kolea... Alafu ndio ungeendelea na stor yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…