Nimeombwa rushwa ya ngono kwenye ofisi X

Yaani siku hizi hata wanawake hawaoni aibu? Kweli hii dunia inaenda less sana aisee zama za zamani kusikia mwanamke ameomba rushwa ya ngono unaona kitu cha ajabu sana ila si sasa aisee inashangaza na inahuzunisha sana

Leo nimeenda ofisi X kupata huduma fulani nikamkuta mwanamke mmoja mzuri na anavutia sana. Ama hakika angekuwepo mwanaume rijali asingemchomoa ila mie ndiyo hivyo tena akawa ananizungusha sana ila baadae baada ya mimi kuwa mkali akanichana ya kwamba ananitaka kimapenzi.

Kwamba nikamuwashe dude au nimpige papuchi ndipo hitaji langu litaenda kasi ila bwana nikamkazia nikasema siwezi kufanya huo ujinga kabisa kwasababu ni kosa kutoa na kupokea rushwa full sto

Wacha ulongo wewe.

Kwenye K hakuna mwanaume mjanja. Hata uwe askofu, shehe, mchungaji, padri, nabii, kuhani ama ulamaa! Hao wote hakuna mgumu kwenye K.

Kwenye kupenda K, 99% ya wanaume harakati zetu zinafanana sema tu tunatofautishwa na mazingira tuishimo katika kuziendea na kuzitungua.

K, ndio starehe daraja la kwanza Kwa wanaume.

Ndio maana baadhi ya Imani za duni wanaambiwa kuwa zawadi kubwa baada ya maisha mema hapa Duniani huko akhera ni kuzawadiwa K 100 ambazo bado seald
 
Yaani siku hizi hata wanawake hawaoni aibu? Kweli hii dunia inaenda less sana aisee zama za zamani kusikia mwanamke ameomba rushwa ya ngono unaona kitu cha ajabu sana ila si sasa aisee inashangaza na inahuzunisha sana

Leo nimeenda ofisi X kupata huduma fulani nikamkuta mwanamke mmoja mzuri na anavutia sana. Ama hakika angekuwepo mwanaume rijali asingemchomoa ila mie ndiyo hivyo tena akawa ananizungusha sana ila baadae baada ya mimi kuwa mkali akanichana ya kwamba ananitaka kimapenzi.

Kwamba nikamuwashe dude au nimpige papuchi ndipo hitaji langu litaenda kasi ila bwana nikamkazia nikasema siwezi kufanya huo ujinga kabisa kwasababu ni kosa kutoa na kupokea rushwa full stop
acha uongo
 
Sasa dushe ni kitu ya kumnyima mtu kweli?
Sasa atampaje wakati kasema yeye ndiyo hivyo nguvu zimekata ...wengine wana kisukari toka wakiwa watoto ..siyo wote wazima wa afya
 
Yaani siku hizi hata wanawake hawaoni aibu? Kweli hii dunia inaenda less sana aisee zama za zamani kusikia mwanamke ameomba rushwa ya ngono unaona kitu cha ajabu sana ila si sasa aisee inashangaza na inahuzunisha sana

Leo nimeenda ofisi X kupata huduma fulani nikamkuta mwanamke mmoja mzuri na anavutia sana. Ama hakika angekuwepo mwanaume rijali asingemchomoa ila mie ndiyo hivyo tena akawa ananizungusha sana ila baadae baada ya mimi kuwa mkali akanichana ya kwamba ananitaka kimapenzi.

Kwamba nikamuwashe dude au nimpige papuchi ndipo hitaji langu litaenda kasi ila bwana nikamkazia nikasema siwezi kufanya huo ujinga kabisa kwasababu ni kosa kutoa na kupokea rushwa full stop
Mkuu kwani wewe ni Mchicha Mwiba?
 
Sasa si ungeanza na hadithi hadithi uongo njoo utam kolea... Alafu ndio ungeendelea na stor yako
 
Back
Top Bottom