Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Hahahaha............that's perfect 🤗Busara nnazo tayari bado tu huo uzee. Shikamoo mzee
Marahaba Mkuu 🥂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha............that's perfect 🤗Busara nnazo tayari bado tu huo uzee. Shikamoo mzee
hivi upoUKIMWI upo. Kuwa makini
duu maana ya maana"Ama hakika angekuopo mwanaume rijali asingemchomoa..."
Kwahiyo unataka kutuambia nini kuhusu wewe?
@Chawa wa lumumbashi ni Mtanzania?[emoji23]
Kwema huko ?Hahahaha............that's perfect 🤗
Marahaba Mkuu 🥂
Huku njema Mkuu, tunapambana na shughuli za kilimo tu 🤗Kwema huko ?
Unataka tu conclude sisi?Ama hakika angekuwepo mwanaume rijali asingemchomoa ila mie ndiyo hivyo tena
Yaani siku hizi hata wanawake hawaoni aibu? Kweli hii dunia inaenda less sana aisee zama za zamani kusikia mwanamke ameomba rushwa ya ngono unaona kitu cha ajabu sana ila si sasa aisee inashangaza na inahuzunisha sana
Leo nimeenda ofisi X kupata huduma fulani nikamkuta mwanamke mmoja mzuri na anavutia sana. Ama hakika angekuwepo mwanaume rijali asingemchomoa ila mie ndiyo hivyo tena akawa ananizungusha sana ila baadae baada ya mimi kuwa mkali akanichana ya kwamba ananitaka kimapenzi.
Kwamba nikamuwashe dude au nimpige papuchi ndipo hitaji langu litaenda kasi ila bwana nikamkazia nikasema siwezi kufanya huo ujinga kabisa kwasababu ni kosa kutoa na kupokea rushwa full sto
Wacha ulongo wewe.
Kwenye K hakuna mwanaume mjanja. Hata uwe askofu, shehe, mchungaji, padri, nabii, kuhani ama ulamaa! Hao wote hakuna mgumu kwenye K.
Kwenye kupenda K, 99% ya wanaume harakati zetu zinafanana sema tu tunatofautishwa na mazingira tuishimo katika kuziendea na kuzitungua.
K, ndio starehe daraja la kwanza Kwa wanaume.
Ndio maana baadhi ya Imani za duni wanaambiwa kuwa zawadi kubwa baada ya maisha mema hapa Duniani huko akhera ni kuzawadiwa K 100 ambazo bado seald
acha uongoYaani siku hizi hata wanawake hawaoni aibu? Kweli hii dunia inaenda less sana aisee zama za zamani kusikia mwanamke ameomba rushwa ya ngono unaona kitu cha ajabu sana ila si sasa aisee inashangaza na inahuzunisha sana
Leo nimeenda ofisi X kupata huduma fulani nikamkuta mwanamke mmoja mzuri na anavutia sana. Ama hakika angekuwepo mwanaume rijali asingemchomoa ila mie ndiyo hivyo tena akawa ananizungusha sana ila baadae baada ya mimi kuwa mkali akanichana ya kwamba ananitaka kimapenzi.
Kwamba nikamuwashe dude au nimpige papuchi ndipo hitaji langu litaenda kasi ila bwana nikamkazia nikasema siwezi kufanya huo ujinga kabisa kwasababu ni kosa kutoa na kupokea rushwa full stop
Sasa atampaje wakati kasema yeye ndiyo hivyo nguvu zimekata ...wengine wana kisukari toka wakiwa watoto ..siyo wote wazima wa afyaSasa dushe ni kitu ya kumnyima mtu kweli?
Mkuu kwani wewe ni Mchicha Mwiba?Yaani siku hizi hata wanawake hawaoni aibu? Kweli hii dunia inaenda less sana aisee zama za zamani kusikia mwanamke ameomba rushwa ya ngono unaona kitu cha ajabu sana ila si sasa aisee inashangaza na inahuzunisha sana
Leo nimeenda ofisi X kupata huduma fulani nikamkuta mwanamke mmoja mzuri na anavutia sana. Ama hakika angekuwepo mwanaume rijali asingemchomoa ila mie ndiyo hivyo tena akawa ananizungusha sana ila baadae baada ya mimi kuwa mkali akanichana ya kwamba ananitaka kimapenzi.
Kwamba nikamuwashe dude au nimpige papuchi ndipo hitaji langu litaenda kasi ila bwana nikamkazia nikasema siwezi kufanya huo ujinga kabisa kwasababu ni kosa kutoa na kupokea rushwa full stop
Tembea sehemu ambazo wanawake wanajiuza, chukua uwe unapiga kavu.hivi upo