Serikali inaunga mkono uhuru wa palestina huu ndio msimamo wa serikali.Wapalestina tumewapigania miaka mingi lakini wameua ndugu yetu kikatili bila kujali. Serikali itoe tamko kali otherwise tuvunje uhusiano.
Damu ya Mtanzania haiwezi kupotea bure. Watuambie hao missionaries wao wana maelekezo sahihi au wahuni tu?
Wamemuua mwenzetu kikatili na kikatili sana. They must pay or apologise!
Wewe acha bangi, ISRAEL ILIKUAPO HATA KABLA BIBLIA HAIJAANDIKWA .Still makosa ni ya Israel kulazimisha kukaa kwenye ardhi ya watu mpaka wanawaponza wasio na hatia.
Hisia zingine zinaniambia huyu dogo alikuwa anaandaliwa kuwa jasusi maana hata hiyo boxer aliyovaa inaonesha alishaingia kwenye system ya ujasusi.
Pumzika kwa amani kijana, umeponzwa na watu wala sio kosa lako,tangu lini kilimo kikapatikana jangwani badala ya Africa.
Dah utawaita jamani. The believers wako so sensitive. Wako willing kukutoa uhai wako for blasphemy. Everyone needs to understand that people don't blaspheme out of respect. Ni Sawa na kulock mageti ya nyumba ili kuzuia wezi. Insane people lack logic and reasoningView attachment 2845323
Kuzaliwa kwa huyu mwamba kumeiharibu sana dunia. Bora asingezaliwa huyu jamaa. Tungekuwa sehemu nzuri na salama ya kuishi.
Huyu kijana kadhulumiwa tu uhai kwa kuonewa, maana hahusiki kwa vyovyote na mzozo wa Israel na Palestine.Vita haina macho,hii iwe fundisho kwa sisi washabikia vita kindaki ndaki.
These idiots wanajaribu kufuta Jewish history in the Levant region. Please don't argue with themWewe acha bangi, ISRAEL ILIKUAPO HATA KABLA BIBLIA HAIJAANDIKWA .
BIBLIA IMEKUJA KUANDIKWA KUTHIBITISHA TU HISTORIA ,ILOPITA, ILIOPO NA IJAYO.
AU nawee ni wale wajinga waloamua kumsikiliza Tundu Lissu kwamba , Imeanza kuwepo mwaka 1947??. Sijui 1916 Uingereza ilikua na makoloni Nye Nye nyee nyee?.
Israel ilikuepo na itaendelea kuwepo kama kielelezo Cha UWEPO WA MUNGU MUUMBA MBINGU NA ARDHI.
Kwan Huu mzozo ,Si Hawa magaidi waliamua kushtukiza na kumshambulia Muisrael??.Kama mauaji ni mabaya kwann ww unashabikia mauaji ya wapalestina?
Mm nikategemea utafurahi kama unavyo furahia mauaji wa watu wengine.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Taifa lipo kwenye majonzi mtanzania mwenzetu kauwawa kikatili wewe unaendeleza mabishano yasiyo na tija, unajua kabisa hio ni siku ambayo magaidi yalivamia Israel na kuua watu kinyama ila unajizima data.Kama mauaji ni mabaya kwann ww unashabikia mauaji ya wapalestina?
Mm nikategemea utafurahi kama unavyo furahia mauaji wa watu wengine.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hawa ni factions wa Hamas. These people aren't normal hata kidogoWakati wowote ukishindwa kukemea uobu kwasababu ya dini, kabila, rangi, au siasa wewe ni sehemu ya huo uovu.
Pole familia ya Mollel na waTZ wote.
Alafu kuna mijitu humu inashangiliwa Hamas! Gaidi ni gaidi tu .onyo: video ina maudhui ya mauaji, angalia kwa tahadhari.
Lengo ni kuelimisha jamii kwamba ugaidi upo, Mtanzania mwenzetu hakuwa na silaha yoyote wala
sidhani kama alikuwa anaelewa wanasema nini lakini wakamuua, hata hivyo hawakuridhika wakamupiga risasi tisa za ziada.
View attachment 2845313
Riep JoshuaHabari wazalendo wa kitanzania. Video hii nimeipata IG kiukweli nina mixed emotions. Nina hasira na masikitiko makubwa kupita kiasi. Ewe mtanzania mzalendo wa nchi tuweke mbali udini etc ni kitu kilichoniumzia roho mno. Hii video inamuonyesha Joshua Mollel akitekwa na Hamas. All the deniers sijui nawasaidia vipi. Huyu alikuwa ndugu yetu. RIP Joshua. My heart bleeds kwa hii familia
Tutajua hadi ajuza za gazaStill makosa ni ya Israel kulazimisha kukaa kwenye ardhi ya watu mpaka wanawaponza wasio na hatia.
Hisia zingine zinaniambia huyu dogo alikuwa anaandaliwa kuwa jasusi maana hata hiyo boxer aliyovaa inaonesha alishaingia kwenye system ya ujasusi.
Pumzika kwa amani kijana, umeponzwa na watu wala sio kosa lako,tangu lini kilimo kikapatikana jangwani badala ya Africa.
Jamani kuanzia sasa hivi let's not engage na terrorists na comment zao. Ignore them. They love attention just ignoreAisee nimetokea kuwachukia sana hawa watu.
Na bad enough hawa hawa kina faiza na mbuzi wenzake wanastand with those killers against mwenzao aliyeonewa kwa kuondolewa uhai.
Dah,inasikitisha sana hii
I tagNingetag video nyingine nmeona X formerly known as Twitter unaina jinsi wanavyompiga bastola na AK47 kalashnikov
Achana naoTu
Tutajua hadi ajuza za gaza