Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono
Wapalestina tumewapigania miaka mingi lakini wameua ndugu yetu kikatili bila kujali. Serikali itoe tamko kali otherwise tuvunje uhusiano.

Damu ya Mtanzania haiwezi kupotea bure. Watuambie hao missionaries wao wana maelekezo sahihi au wahuni tu?

Wamemuua mwenzetu kikatili na kikatili sana. They must pay or apologise!
Serikali inaunga mkono uhuru wa palestina huu ndio msimamo wa serikali.
 
Still makosa ni ya Israel kulazimisha kukaa kwenye ardhi ya watu mpaka wanawaponza wasio na hatia.

Hisia zingine zinaniambia huyu dogo alikuwa anaandaliwa kuwa jasusi maana hata hiyo boxer aliyovaa inaonesha alishaingia kwenye system ya ujasusi.

Pumzika kwa amani kijana, umeponzwa na watu wala sio kosa lako,tangu lini kilimo kikapatikana jangwani badala ya Africa.
Wewe acha bangi, ISRAEL ILIKUAPO HATA KABLA BIBLIA HAIJAANDIKWA .

BIBLIA IMEKUJA KUANDIKWA KUTHIBITISHA TU HISTORIA ,ILOPITA, ILIOPO NA IJAYO.

AU nawee ni wale wajinga waloamua kumsikiliza Tundu Lissu kwamba , Imeanza kuwepo mwaka 1947??. Sijui 1916 Uingereza ilikua na makoloni Nye Nye nyee nyee?.

Israel ilikuepo na itaendelea kuwepo kama kielelezo Cha UWEPO WA MUNGU MUUMBA MBINGU NA ARDHI.
 
View attachment 2845323
Kuzaliwa kwa huyu mwamba kumeiharibu sana dunia. Bora asingezaliwa huyu jamaa. Tungekuwa sehemu nzuri na salama ya kuishi.
Dah utawaita jamani. The believers wako so sensitive. Wako willing kukutoa uhai wako for blasphemy. Everyone needs to understand that people don't blaspheme out of respect. Ni Sawa na kulock mageti ya nyumba ili kuzuia wezi. Insane people lack logic and reasoning
 
Wewe acha bangi, ISRAEL ILIKUAPO HATA KABLA BIBLIA HAIJAANDIKWA .

BIBLIA IMEKUJA KUANDIKWA KUTHIBITISHA TU HISTORIA ,ILOPITA, ILIOPO NA IJAYO.

AU nawee ni wale wajinga waloamua kumsikiliza Tundu Lissu kwamba , Imeanza kuwepo mwaka 1947??. Sijui 1916 Uingereza ilikua na makoloni Nye Nye nyee nyee?.

Israel ilikuepo na itaendelea kuwepo kama kielelezo Cha UWEPO WA MUNGU MUUMBA MBINGU NA ARDHI.
These idiots wanajaribu kufuta Jewish history in the Levant region. Please don't argue with them
 
Kama mauaji ni mabaya kwann ww unashabikia mauaji ya wapalestina?

Mm nikategemea utafurahi kama unavyo furahia mauaji wa watu wengine.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwan Huu mzozo ,Si Hawa magaidi waliamua kushtukiza na kumshambulia Muisrael??.

Sasa kwanini Leo Israel inawaua, mnalalama kua wanawaonea??.
 
Kama mauaji ni mabaya kwann ww unashabikia mauaji ya wapalestina?

Mm nikategemea utafurahi kama unavyo furahia mauaji wa watu wengine.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Taifa lipo kwenye majonzi mtanzania mwenzetu kauwawa kikatili wewe unaendeleza mabishano yasiyo na tija, unajua kabisa hio ni siku ambayo magaidi yalivamia Israel na kuua watu kinyama ila unajizima data.
 
onyo: video ina maudhui ya mauaji, angalia kwa tahadhari.

Lengo ni kuelimisha jamii kwamba ugaidi upo, Mtanzania mwenzetu hakuwa na silaha yoyote wala
sidhani kama alikuwa anaelewa wanasema nini lakini wakamuua, hata hivyo hawakuridhika wakamupiga risasi tisa za ziada.

View attachment 2845313
Alafu kuna mijitu humu inashangiliwa Hamas! Gaidi ni gaidi tu .
 
Habari wazalendo wa kitanzania. Video hii nimeipata IG kiukweli nina mixed emotions. Nina hasira na masikitiko makubwa kupita kiasi. Ewe mtanzania mzalendo wa nchi tuweke mbali udini etc ni kitu kilichoniumzia roho mno. Hii video inamuonyesha Joshua Mollel akitekwa na Hamas. All the deniers sijui nawasaidia vipi. Huyu alikuwa ndugu yetu. RIP Joshua. My heart bleeds kwa hii familia
Riep Joshua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tu
Still makosa ni ya Israel kulazimisha kukaa kwenye ardhi ya watu mpaka wanawaponza wasio na hatia.

Hisia zingine zinaniambia huyu dogo alikuwa anaandaliwa kuwa jasusi maana hata hiyo boxer aliyovaa inaonesha alishaingia kwenye system ya ujasusi.

Pumzika kwa amani kijana, umeponzwa na watu wala sio kosa lako,tangu lini kilimo kikapatikana jangwani badala ya Africa.
Tutajua hadi ajuza za gaza
 
Aisee nimetokea kuwachukia sana hawa watu.

Na bad enough hawa hawa kina faiza na mbuzi wenzake wanastand with those killers against mwenzao aliyeonewa kwa kuondolewa uhai.

Dah,inasikitisha sana hii
Jamani kuanzia sasa hivi let's not engage na terrorists na comment zao. Ignore them. They love attention just ignore
 
Back
Top Bottom