Mkuu umeenda mbali sana...

Huyu balozi anawakilisha mamlaka ya Palestine (PA) na sio Hamas, halafu hakuna sehemu mamlaka ya Palestine imeunga mkono mauaji yaliyofanywa na Hamas kule Israel
 
diniya amani faiza
 
Sasa ww kama unaumizwa na mtz mwenzako mmoja aliye uawa vipi kuhusu wapalestina ambao kwa miaka 75 wamekuwa wakiuawa maelfu kwa maelfu bila sababu?

Kila binadamu anastahili kuhurumiwa na kutetewa pale anapo onewa maana mbele ya mungu thamani yako haitambuliki kama mtz bali unatambulika kama mwanadamu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
ni shasema tanzania na balozi zake zisikie ukipata matatizo hakuna watakalo kusaidia ukilinganisha na nchi zengine wakifanyiwa watu wao wanaweza kupeleka makomando au kukata diplomasia kabisa.
Kwa hali hii iliyotokea, naona kuna haja kwa Serikali yetu kupeleka kwa siri kikosi maalumu cha kijeshi ili kwenda kuungana na Majeshi ya Israel (IDF) ktk kuwaangamiza hawa magaidi wa Hamas.
 
Mkuu umeenda mbali sana...

Huyu balozi anawakilisha mamlaka ya Palestine (PA) na sio Hamas, halafu hakuna sehemu mamlaka ya Palestine imeunga mkono mauaji yaliyofanywa na Hamas kule Israel

Sasa anamaana gani kuingia msikitini kuomba waislam wote wawaunge mkono?
 
Mjinga Mmoja wee, Mzozo wa Palestina ulianza pale tu Wana Israel, Walipokua wametawanyika kuamua kurudi kwenye Ardhi ya Baba zao kama ambavyo Mungu alikua kawaahidi katika Isaya 14 !!


Kurudi kwao kunakuta Hawa wapuuzi warabu wameikalia Ile Israel , lkn kwakua Ardhi ni Yao, ndio Sababu hata Umoja wa mataifa uliamua kuwapa Ardhi yao



Chuki za Waarabu zikaanzia hapo.


Safari hii Gaza, hamtokuwepo, Isarel unaenda kuikalia Gaza kijeshi.


Kisha itahamia West Bank, mkileta Ujinga zaidi, Israel atalipua na Msikiti wa Al-aqsa kama alivyolipua misikiti ,mashulez Mahospital na takataka nyingine.


Kwa Kifo Cha Muisrael 1 - Ni lazima Wauawe wapalestina kuanzia 100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…